Magix Enga
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 610
- 449
Sasa ata wakiwa na wafuasi wengi do they add value ama kuletea pesa ndio maana mumezembea mitaani vidume vizima eti zinafuatilia umbea za wasanii nonsense.Muna tabia za kimama hivi.Actually nyie na dada zenu hamna tofautiMental slavery,
Tunapenda vyetu na kuvithamini na ndio maana wasanii wenye followers wengi, youtube subscribers wengi, youtube views wengi wanapatikana Tanzania,
Halafu nyimbo hazijalishi zimeimbwa lugha gani kama ni nzuri itapendwa tu,
Mfano wimbo wa despacito wenye billions of watazamaji youtube...je hao watazamaji billions waliotazama wanaelewa hiyo lugha?