Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,904
Hiyo mkuu inaonekana wazi, huyu ndugu yetu anageuka pole pole sijui ataishia wapi???
[MENTION]Tukubali Dr Slaa anayo mapungufu,Kwanini hatuwaoni mkimkosoa Zitto the same way au yeye ni malaika? Sijawahi kuwaona ma pro Zitto wakimkosoa hata siku moja.
Tunamtetea Dr Slaa kupitia kazi zake hatuoni unafiki zaidi ya uzalendo.Tunajua mpo wengi wenye ajenda za kuharibu harakati za mapinduzi kuilinda CCM na tunajua utamu wa Zitto ni sasa akiwa Chadema subirini upande mwingine wa shilingi muone!
Tukubali Dr Slaa anayo mapungufu,Kwanini hatuwaoni mkimkosoa Zitto the same way au yeye ni malaika? Sijawahi kuwaona ma pro Zitto wakimkosoa hata siku moja.
Tunamtetea Dr Slaa kupitia kazi zake hatuoni unafiki zaidi ya uzalendo.Tunajua mpo wengi wenye ajenda za kuharibu harakati za mapinduzi kuilinda CCM na tunajua utamu wa Zitto ni sasa akiwa Chadema subirini upande mwingine wa shilingi muone!
[MENTION]Rutashubanyuma huwa napenda makala zako sana kuzisoma na yahitaji kukaa chini na kufikiria kabla ya kutoa majibu ila kwa hii naomba nisiungane na wewe kabisa
Na wala sio kwamba tunatofautiana popote ila kwa mawazo yako sitakubaliana nayo.
ummu kulthum ninachojaribu kusema Dr. Slaa anasutwa na matendo yake
Yaani wewe maada nzito yenye shutuma za msingi kabisa, lakini pekee ulichokiona ni lugha tu!!! Au kwa sababu wewe ni mnufaika wa kwanza wa pesa alizojikopesha BABU toka akaunti ya ruzuku ya CHADEMA kwa ajili ya kujenga nyumba yake binafsi?
Lugha si hoja, cha msingi ujumbe umeeleweka. Mbona wewe umetumia kiswahili lakini umekosea kosea vilevile?
hebu ntasfirie kidogo bwana c unajua wengine tumesoma asante mkapa
Tell us who is politically clean in CCM. Make an analysis of Nape, Kinana, and the like and come up with whom among them you expect to be your next president.
As the swahili saying goes " mti wenye matunda mazuri hupigwa sana" mti huchubuliwa lakini huendelea kuzaa matunda matamu.
Nyegela waitu. Ugumile.
Enjoy your lunch and come up with a good story about Membe, Lowassa and Sitta, the CCM clean angels.
Sifa kuu ya mwandishi ni kuandika kitu ambacho hadhira yake itasoma na kuelewa. Kitu ninachokiona kwenye bandiko hili ni matumizi ya lugha ngumu tena zingine colloquial pasipo sababu zozote za maana. Mwisho wa siku you write for others and not for you.
Hata hivyo nashindwa kuelewa kwa Katiba ya sasa inawezekana kweli matokeo ya Urais yakawa challenged mahakamani? Sasa Dkt. Slaa aliahidi vipi kwenda mahakamani wakati hakuna room hiyo?
Lakini kitu kingine ninachokiona katika makala hii ni personal judgements za mtu (Tena Dkt. Slaa) pasipo kuunganisha na upepo wa mabadiliko. Nachukiaga sana uchambuzi unaokuwa so personal na zaidi usioupa nafasi umma katika kuleta mabadiliko. Zaidi nachukia maandiko ambayo yanaonesha wazi kuelekea kukwaza mabadiliko yenyewe kwa sifa sifa tu za mtu binafsi.
CCM keeps on changing presidential torch bearers every ten years...
Rutashubanyuma, once a political analyst based in Arusha has turned to be a hate preacher.
One dont need to be "sheikh yahya" to see his hatred against Dr. Slaa.
[B said:Rutashubanyuma[/B];5254489]..........
Since Dr. Slaa is either unwilling or unable to rebuke injustice in his own party how can we trust him with a much heavier duty of national rebuilding?..........
But for CHADEMA to be taken serious they need to walk the talk. Otherwise, their "people's power" political gimmick will sooner than later be confined into history books where it truly belongs.
In this kind of political environment, voters have right to ask themselves whether voting out CCM will be replacing her with the monster in CHADEMA, for what reasons? Is it not better to stick with the devil we are accustomed to than the tiger in sheep skin waiting for an opportune moment before it pounces?..........