Why Dr. Slaa is now politically speaking “damaged goods”!

Why Dr. Slaa is now politically speaking “damaged goods”!

Tukubali Dr Slaa anayo mapungufu,Kwanini hatuwaoni mkimkosoa Zitto the same way au yeye ni malaika? Sijawahi kuwaona ma pro Zitto wakimkosoa hata siku moja.

Tunamtetea Dr Slaa kupitia kazi zake hatuoni unafiki zaidi ya uzalendo.Tunajua mpo wengi wenye ajenda za kuharibu harakati za mapinduzi kuilinda CCM na tunajua utamu wa Zitto ni sasa akiwa Chadema subirini upande mwingine wa shilingi muone!
[MENTION]
MTAZAMO[/MENTION] tatizo la wabongo wakimpenda mtu basi humkuza akawa Mungu wao.............ukimbishia na kuhoji matendo yake wanadai una chuki binafsi ukimsifia basi uko nao.....................sijui kama kuna siku tutabadilika....
 
Rutashubanyuma huwa napenda makala zako sana kuzisoma na yahitaji kukaa chini na kufikiria kabla ya kutoa majibu ila kwa hii naomba nisiungane na wewe kabisa
Na wala sio kwamba tunatofautiana popote ila kwa mawazo yako sitakubaliana nayo.
 
Last edited by a moderator:
Tukubali Dr Slaa anayo mapungufu,Kwanini hatuwaoni mkimkosoa Zitto the same way au yeye ni malaika? Sijawahi kuwaona ma pro Zitto wakimkosoa hata siku moja.

Tunamtetea Dr Slaa kupitia kazi zake hatuoni unafiki zaidi ya uzalendo.Tunajua mpo wengi wenye ajenda za kuharibu harakati za mapinduzi kuilinda CCM na tunajua utamu wa Zitto ni sasa akiwa Chadema subirini upande mwingine wa shilingi muone!

MTAZAMO tatizo la wabongo wakimpenda mtu basi humkuza akawa Mungu wao.............ukimbishia na kuhoji matendo yake wanadai una chuki binafsi ukimsifia basi uko nao.....................sijui kama kuna siku tutabadilika....
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma huwa napenda makala zako sana kuzisoma na yahitaji kukaa chini na kufikiria kabla ya kutoa majibu ila kwa hii naomba nisiungane na wewe kabisa
Na wala sio kwamba tunatofautiana popote ila kwa mawazo yako sitakubaliana nayo.
[MENTION]
Mr Rocky[/MENTION] ninakuelewa kabisa hilo sina shida na ndiyo maana mwanzoni nimetahadharisha ya kuwa haya maoni yangu yatawagusa wengi na hawtayakubali......ila nisaidie maana elimu haina mwisho tatizo lako na hii mada ni maeneo yepi?

Maana ninachomtuhumu Dr. Slaa amekuwa mstari wa mbele kuikosoa CCM lakini uozo ndani ya CDM yuko kimya na la pili ametoa ahadi nyingi wakati wa uchaguzi kupambana na wizi wa kura mahakamani lakni hakwenda....................yapo mapungufu yake binafsi ya kuhamahama kutoka kiapo cha kanisani, kwenye mapenzi sasa ninajuliza hivi tunayo sababu ya kumwamini?

Wapi unatofautiana nami na mambi ni mengi nimeyaiua.........
 
ummu kulthum ninachojaribu kusema Dr. Slaa anasutwa na matendo yake

Tell us who is politically clean in CCM. Make an analysis of Nape, Kinana, and the like and come up with whom among them you expect to be your next president.
As the swahili saying goes " mti wenye matunda mazuri hupigwa sana" mti huchubuliwa lakini huendelea kuzaa matunda matamu.

Nyegela waitu. Ugumile.

Enjoy your lunch and come up with a good story about Membe, Lowassa and Sitta, the CCM clean angels.
 
Rutashubanyuma
I was touched by your analysis; for naysayers if you want to defends your master come up with something strong to validate your points; this is how we argue in politic point of views; Mkuu Mwita Maranya and your company I am waiting for your analysis.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe maada nzito yenye shutuma za msingi kabisa, lakini pekee ulichokiona ni lugha tu!!! Au kwa sababu wewe ni mnufaika wa kwanza wa pesa alizojikopesha BABU toka akaunti ya ruzuku ya CHADEMA kwa ajili ya kujenga nyumba yake binafsi?

Lugha si hoja, cha msingi ujumbe umeeleweka. Mbona wewe umetumia kiswahili lakini umekosea kosea vilevile?

ZeMarcopolo mwelimishe tu na kama ana maswali kuna maeneo mengi nimeitafisir hii mada kwa kifupi kwa kiswahili........sasa achangie badala ya kulalama tu.
 
Last edited by a moderator:
hebu ntasfirie kidogo bwana c unajua wengine tumesoma asante mkapa

Sifa kuu ya mwandishi ni kuandika kitu ambacho hadhira yake itasoma na kuelewa. Kitu ninachokiona kwenye bandiko hili ni matumizi ya lugha ngumu tena zingine colloquial pasipo sababu zozote za maana. Mwisho wa siku you write for others and not for you.

Hata hivyo nashindwa kuelewa kwa Katiba ya sasa inawezekana kweli matokeo ya Urais yakawa challenged mahakamani? Sasa Dkt. Slaa aliahidi vipi kwenda mahakamani wakati hakuna room hiyo?

Lakini kitu kingine ninachokiona katika makala hii ni personal judgements za mtu (Tena Dkt. Slaa) pasipo kuunganisha na upepo wa mabadiliko. Nachukiaga sana uchambuzi unaokuwa so personal na zaidi usioupa nafasi umma katika kuleta mabadiliko. Zaidi nachukia maandiko ambayo yanaonesha wazi kuelekea kukwaza mabadiliko yenyewe kwa sifa sifa tu za mtu binafsi.
 
Tell us who is politically clean in CCM. Make an analysis of Nape, Kinana, and the like and come up with whom among them you expect to be your next president.
As the swahili saying goes " mti wenye matunda mazuri hupigwa sana" mti huchubuliwa lakini huendelea kuzaa matunda matamu.

Nyegela waitu. Ugumile.

Enjoy your lunch and come up with a good story about Membe, Lowassa and Sitta, the CCM clean angels.

Twasila aidha hujanielewa au hata hujasoma....................kwwenye hii makal ccm nawaona hali yao siyo nzuri hata chembe.......
 
Last edited by a moderator:
English uliyo2mia ni ngumu sana hivyo maana halisi ya ujumbe wako wameipata wachache:smiling:Mimi nakushauri uiandike tena kiswahili ili kila mtanzania aweze kupata ulichokusudia kiifikie jamii. Yangu ni hayo 2uu.
 
CDM ni chama kinachokuwa kwa kasi sana na watu wanakifuata bila shuluti. matatizo ya kiuongozi na challenges kama hizo lazima ziwepo.

CCM wana uzoefu wa kuongoza nchi kwa miongo kadhaa -- so stand still chadema, angalieni hizi challenges na kuzifanyika kazi -- i mean za kipuuzi waachieni walioziandika zenye mantiki basi haraka haraka chukueni ; sisi wananchi bado tunawaamini.

Personal attacks kwa DR. lazima ziwepo maana CDM ni chama kinachopendwa na kuaminiwa na umma, kimbilio la wanyonge.

Before 2010 election CDM ilikuwa na wabunge 5 tu, baada ya 2010 CDM ikawa na wabunge 43 - ukuaji ni 860% - hapo lazima kuwe na challenges.
 
Sifa kuu ya mwandishi ni kuandika kitu ambacho hadhira yake itasoma na kuelewa. Kitu ninachokiona kwenye bandiko hili ni matumizi ya lugha ngumu tena zingine colloquial pasipo sababu zozote za maana. Mwisho wa siku you write for others and not for you.

Hata hivyo nashindwa kuelewa kwa Katiba ya sasa inawezekana kweli matokeo ya Urais yakawa challenged mahakamani? Sasa Dkt. Slaa aliahidi vipi kwenda mahakamani wakati hakuna room hiyo?

Lakini kitu kingine ninachokiona katika makala hii ni personal judgements za mtu (Tena Dkt. Slaa) pasipo kuunganisha na upepo wa mabadiliko. Nachukiaga sana uchambuzi unaokuwa so personal na zaidi usioupa nafasi umma katika kuleta mabadiliko. Zaidi nachukia maandiko ambayo yanaonesha wazi kuelekea kukwaza mabadiliko yenyewe kwa sifa sifa tu za mtu binafsi.

WOWOWO nilichosema katiba hutafsiriwa na mahakama Kuu na wao tayari kuanzia 1996 walikwisha kusema ni rukhsa kuishtaki NEC kama haikuzinatia sheria za uchaguzi katika kumtangaza mshindi wa kiti cha Uraisi. CDM hawakuwa na ushahidi wa kulithibitisha hilo wakabakia kuupotosha umma kuwa katiba ndiyo tatizo......wao siyo mahakama kuu.

viongozi wanajadiliwa kwa matendo yao binafsi na lazima iwe personality analysis..........................ukichukia hiyo ni bakhati mbaya kwako.........
 
Last edited by a moderator:
CCM keeps on changing presidential torch bearers every ten years...

Nilipoifikia hii sentensi, niligundua kuwa hii stori umecopy na kugandamizia from somewhere else... just changing names.
CCM do not keep changing presidential contestants every ten years in their will... and no matter what, there cant be any solid grounds of believing so, unless circumstances allow...

Nina uhakika mtu akiigoogle hii story, ataipata ulikoitoa...

By the way, Lowassa mzima?
 
Duuh. Rutashubanyuma hii ni kukomoana tu! unaandikaje kiingereza kigumu namna hiyo? ina maana hamna maneno rahisi ya kutumia hata sisi wa St Kayumba universities tukaambulia? Kusema ukweli Mimi Mtego wa Noti nimejitahidi nimejitahidi kutega hicho kingereza lakini sijakinasa kabisa!!!! nimechoka kufungua dikishenari kila baada ya neno moja.....sentensi oja ina maneno magumu zaidi ya saba?...tusikomoane jamani..tuoneane huruma!
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, once a political analyst based in Arusha has turned to be a hate preacher.
One dont need to be "sheikh yahya" to see his hatred against Dr. Slaa.

I smell the same; unfortunately, What I am not sure of whether he(based on JF ID) is uttering these 'under' the contract of TUNTEMEKE or the arch rival of CDM!

[B said:
Rutashubanyuma[/B];5254489]..........

Since Dr. Slaa is either unwilling or unable to rebuke injustice in his own party how can we trust him with a much heavier duty of national rebuilding?..........

But for CHADEMA to be taken serious they need to walk the talk. Otherwise, their "people's power" political gimmick will sooner than later be confined into history books where it truly belongs.

In this kind of political environment, voters have right to ask themselves whether voting out CCM will be replacing her with the monster in CHADEMA, for what reasons? Is it not better to stick with the devil we are accustomed to than the tiger in sheep skin waiting for an opportune moment before it pounces?..........

RED: I can assure you it is very easy to handle the Tiger in sheep skin than a devil so long as the Tiger is a mere "animal".
 
Rutashubanyuma

Msaidizi wa kwanza wa Dr.Slaa ni naibu katibu mkuu Zitto Kabwe, yeye anahusika kwa njia yeyote n mapungufu haya? Kama anahusika mbona anayesakamwa ni mmoja tuu?

Pili, mada kama hizi mara zote huja pakiwa na mjadala mzito, najua tangu jana usiku ukweli mwingi uliwekwa kuhusu wasaliti wa Cdm , bahati mbaya umefungwa mjadala bila kufanikiwa kuweka wazi kuhusu usaliti unaomhusisha Shigela na vikao vya Sinza na Mabibo, kwenye bar za vumbi........
 
Last edited by a moderator:
Dude, your entitled to your own opinion!

It's too early to draw such line in such volatile political climate.

In Tanzania everything is possible, that's why, President Jakaya Kikwete still our President up to now.

It's still in CHADEMA's hand
 
Tuhuma ya pii kuhusu kwenda mahakamani kuhoji matokeo ya Urais wa 2010 , ni umbulula kwani hujui kuwa katiba ya sasa imekataza? Ama wewe uko ulimwengu upi ? Unajua kuandika kiingereza pkumbe huna uelewa wa mambo?
 
Naomba mnisamehe,nipe ruhusa kusema jambo,

so mmekuja na thread hii kwakuwa ileeeeeeeee imefutwa sehemu?

Haaaaaaaaa, too funny.

This is very good.
 
Back
Top Bottom