Mabaya ya umwengu ni yale yanayowafikia watu bila wao kupenda wala kuweza kuepuka.
Magongwa, matetemeko, tsunami, etc.
Unatammbuaje kwamba jambo Fulani ni baya ? Unalipimaje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabaya ya umwengu ni yale yanayowafikia watu bila wao kupenda wala kuweza kuepuka.
Magongwa, matetemeko, tsunami, etc.
Haya mambo kuna kipindi yafikie tamati kwa kukubali kutokubaliana...
Nyie mnaomtetea Mungu mnamdhalilisha, na tatizo mnatetea huku mnatukana, maneno kama Bwabwa, si maneno mazuri, pia kuna mwingine kasema UKIMWI ni jambo zuri as longer as ARV's zinauzwa, ufikiri wa namna hii ni mbaya sana....
Hapa kuna mambo mawili katika kuelewa uwepo wa kitu, eidha kujua ama kuamini,....
Katika kuamini mara nyingi hakuhitaji uthibitisho wa nje, yaani kuthibitisha na mtu mwingine aone, Katika kuamini, uthibitisho ni self evident, mambo niliyotendewa au kuexperience within my self.....nikishasema naamini ( Doxa) ukiniomba proof ntakushangaa....
Kuamini uwepo wa kitu, kuna maana mbili, hicho unachoamini kinaweza kuwepo au kutowepo....
Kujua kunahitaji Uthibitisho, kujua kunaenda mbali zaidi, kwa maana unaweza kuelezea, kujaribu, kuona, kugusa, nikiomba unielezee kwa nini ndege inapaa, unaeleza kwa maana unajua, sio kuamini!
*************************
NB:, Uwepo wa Simba mwenye Kichwa kinafanana na cha binadamu Hifadhi ya wanyama Saadani au Ruaha, kwa wewe au yeyote kutomuona haimaanishi huyo Simba hayupo.....
Simba anaendelea kuwepo tu!......
Anayeamini aamini, anayejua alete uthibitisho....
Maandiko yapi aliyoyatoa Mungu? Waislam wana maandiko tofauti na wakristo na yanakinzana kwa kiasi kikubwa na maandiko ya wakristo m.f kuna waislam wenye msimamo mkali wanaoamini kuwa kuchinja watoto bila hatia, kuua wazazi watu wasio na imani kama yao na kujilipua ni jambo jema, sasa hayo pia utaita ni maadili?
Katika taaluma mbalimbali, kuna miongozo na kanuni zinazofuatwa na walio katika taaluma hizo, mungu wenu ameionyesha wapi hiyo misingi na miongozo ya kimaadili katika taaluma hizo?
Sasa umeandika nini ? Kwanini unasema neno bwabwa ni baya ?
Ni baya kwa mtazamo gani ?
Ninajua kwamba Mungu yupo na ni Roho na kwa Mimi amewahi kutembelea dunia akiwa katika umbo la binadamu. Kupitia vinavyoonekana waweza kutambua uwepo wa visivyoonekana.
Embe au tunda lolote kudondoka kwenda chini badala ya kwenda juu mnasema kwa kuwa kuna nguvu ya uvutano, hivyo kupitia vitu na tabia zake ndipo tunafundishwa kuwepo kwa nguvu za uvutano, je ? Wewe unaweza kunieleza na kutoa evidence za uwepo wa nguvu za uvutano pasipo rejea ya matokeo yake.
Au unaweza nionyesha umeme kwa ushahidi Kabisa namini nkauona unafananaje ?
Ni kwa nini Mungu hatakiwi kuthibitishwa kwa kutumia viumbe wake ?
Ni kwanini Mimi nilivyoumbwa na ustadi mkubwa hivi na mifumo mingi yenye utendaji wa ajabu mno isiwe ni rejea kujua Mungu. Lakini embe kudondoka chini iwe rejea ya kujua nguvu za uvutano na kwa umeme pia.
Tafakari chukua hatua...
Maandiko ya Mungu wangu aliyemtuma Bwana Yesu Kristo.
Hii Habari ya waislam na maandiko yao ni moja ya juhudi za maksudi ili Mungu wa kweli ajithibitishe ni hekima kidogo inatakiwa kujua kwamba Mjadala ni kuwepo kwa Mungu lakini siyo kila aitwaye mungu ndiye Mungu ni ayesema yupo.
Mungu muumba wa mbingu na ardhi na ulimwengu kwa ujumla huyo yupo pasipo kujali ni kwa dini gani
Maandiko ya Mungu wangu aliyemtuma Bwana Yesu Kristo.
Hii Habari ya waislam na maandiko yao ni moja ya juhudi za maksudi ili Mungu wa kweli ajithibitishe ni hekima kidogo inatakiwa kujua kwamba Mjadala ni kuwepo kwa Mungu lakini siyo kila aitwaye mungu ndiye Mungu ni ayesema yupo.
Mungu muumba wa mbingu na ardhi na ulimwengu kwa ujumla huyo yupo pasipo kujali ni kwa dini gani
Hawafahamu maana ya hoja. Hao wote wamekaririshwa ndio maana wanatumia Ignore List.Huoni hoja kwenye andikshi la Ishmael acha woga wewe ! Jibu hoja zake tumia lugha ya kitoto Kama anayotumia lakini jibu hoja zake.
Kujua kwamba lugha ni ya kitoto inaonyesha Una ujuzi nayo ! Itumie ujibu hoja acha uwoga.. Kiranga kaomba poo kwa kutumia ignore list maana amegundua anadharirika kwa kariri zake nawe unafuata njia hiyo hiyo kwa visingizio vinavyofanana ...
You din't know that?!!! You must be kidding me.Na hapa ndio nathibitisha wewe ni mpuuzi, na ni mdini pia, Kwa hiyo kwa waIslamu hakuna Mungu, kwani kuna Mungu wa Wakristo na Mungu wa Waislamu?
You got spanked by the evidence. You can't engage them either, much less refute them. You are just as frustrated and silly as DirkHuyo Ishmael hajui kitu then anangangana na kuingia kichwa kichwa ,anakurupukia maswali hana hoja ya umuhimu kivile so guys Wa jukwaa hili akipuuziwa hakuna tatizo mana sioni cha umuhimu kwake zaidi ya kungangana na lugha ya kigeni ata sehemu ambayo haijatumika .,mkuu ukikaa kimya ni bora zaidi kuliko kuwa mkurupukaji ivo Ishmael
Unatammbuaje kwamba jambo Fulani ni baya ? Unalipimaje ?
Kama haelewi muombee tu.Sielewi tatizo lako liko wapi ! Maadili ni kwa Mungu pekee nje ya Mungu maadili unayapata wapi ? He ? Kwenye sayansi kuna kitu kinaitwa maadili (morals) kuzungumzia human behavior sioni ni kwa namna gani kunaondoa maadili kwa Mungu.
Kuna kitu umeambiwa kuhusu Free Will hivyo wanaochagua uovu badala ya wema wanawajibika kwa uovu wao sawa na waliochagua wema pia wanawajibika kwa wema wao.
Ni kwa namna gani waweza kujadili morals kwa mtazamo wa Atheist ?
You din't know that?!!! You must be kidding me.
ALLAH SAID THERE IS NO GOD. So, who is Allah?
Kama haelewi muombee tu.
Kwa kumtokea mtu bila kupenda na kuwa na uwezo wa kulizuia.
Tatizo unapaniki, Bwabwa umelitamka kumtusi mtu mwingine, kwa mtu anayemuamini Mungu hawezi fanya huo upuuzi, Huwezi sema unamjua Mungu kwa sababu huna uwezo wa kuleta uthibitisho zaidi ya makelele,
Nafikiri hujaelewa nilichoandika kwa sababu inahitaji uwezo mkubwa kuelewa...
Mungu amewahi kutembelea Dunia? ulimuona? ....Mungu hakupaswa kutetewa na wewe, unatumia sana hisia utakua mtoto wa Mchungaji wewe!
Sasa huyo mungu unaemwamini, anajipinga yeye mwenyewe? Au utofauti wa kimafundisho kati ya wale wanaomwamini kuwa ishara ya juhudi za kumtambua na kumfikia yeye, huoni kuwa ni uthibitisho tosha kuwa uwepo wake una walakini pia? Huoni kuwa hata hayo maandishi unayoyaamini yanaweza kuwa sehemu ya juhudi za kibinadamu katika kufikia malengo yao na si maandiko yaliyotoka kwa mungu kama unavyoamini?
Tukija katika swala la maadili, ningependa urudie posti yangu hapo juu unifafanulie jinsi mungu alivyohusika katika kuandika miongozo na maadili katika taaluma.
Ni kanuni gani zinazoongoza katika kumtambua mungu wa kweli na asie wa kweli?
Na hapa ndio nathibitisha wewe ni mpuuzi, na ni mdini pia, Kwa hiyo kwa waIslamu hakuna Mungu, kwani kuna Mungu wa Wakristo na Mungu wa Waislamu?
You are not the first one. Even your deity hates asking questions. There has been so much evil done in the name of your deity and Islam and it would take a million years of no religion of peace to make up the difference.Wewe nakupuuza....
Kwa kumtokea mtu bila kupenda na kuwa na uwezo wa kulizuia.
Waislam wanaye mungu wao anaitwa Allah, huyu ni mungu wa makuraish wa Makkah tangu zama. Muhammad alimtengeneza na kumtumia kuwa ndiye mungu wa pekee astahiliye kuabudiwa na wafuasi wa dini yake Islam
Mungu wa Wakristo anaitwa Yahweh.
mungu wa Waislam anaitwa Allah.
Mpaka hapo nafikiri utakuwa umeelewa maana sijamung'unya maneno. miungu wako wengi Sana na wanaabudiwa na mamilioni ya watu, kuna Dagoni, kuna Baari, Kuna Allah etc etc.
Tafakari chukua hatua...