Mungu wanaye muamin wa israel ndio Mungu anayeabudiwa na wakristo tofaut ni kwamba jews thy dont bilieve in new testament which is the gospel of Jesus and they ar still waiting for their messiah ambaye wakristo wanaamin ni Yesu ambaye wao walimkataa na bado hawamuami
Ukweli ni kwamba, jinsi knowledge inavozidi kuongezeka watu wanazidi kwenda mbali na Mungu, hii hata kwenye bible imeandikwa though... Mtu anayesoma science kwa undani zaidi, any field of science, ukianza kuingia deep utaanza kuona kama sisi binadamu tunaweza fanya chochote kile...
Nimesoma na watu wa aina mbalimbali wengine walioshika dini kupindukia, siku zilivozidi kwenda tukachukua wote courses chuo physics, psychology, biology, computer science, kadri mambo yanavozidi kueleweka ndo imani ikaanza kuyumba, hadi jamaa aliyekua kashika sana dini alikuja akanambia ameanza ku-question uwepo wa Mungu, yote ni kutokana na ile elimu anayoipata kuhusu dunia na ulimwengu kwa ujumla darasani, unconsciously inaingia akilini inakubadilisha... Honestly hata mimi mwenyewe imani yangu imeyumba mara nyingi kwa ku-question uwepo wa Mungu kutumia science knowledge..
Na muda mwingine mtu unaanza ku-question, kwamba mimi ni Mkristo je ni kwa sababu nimependa mwenyewe au sababu nilizaliwa familia ya wakristo nikakua nikayashika mambo yakaniingia hivohivo?? sababu in reality mtoto mdogo anashika mambo na kuyapokea akilini na yakadumu milele, je ungezaliwa muislamu si leo hii ungetetea uislamu, je ungezaliwa Buddhist si ungeendelea na imani yako maana unconsciously iliingia akilini ulivokua unakua ikakaa... Je ungebadili dini ufate ukristo? ufate uislamu? Sasa je yupi anaamini cha ukweli yupi cha uongo?? pande zote mbili zina mafundisho yao na wana proof zao... Haya maswali yanachanganya at the end of the day mtu mwenye knowledge nyingi kama Mark, watu kama Bill Nye, wanaamua kua atheists tu kwa kuona dini haina logic....
It's stupid unaelimika sana na dini unaona haina maana but after all you haven't done any research kwa kutumia hiyo elimu yako au kwenda huko kuzimu na elimu yako to find out what happen after death or where will you be after deathukizidi kuelimika utagundua dini haina maana am proud to be an atheist ,religious and god are myth and very complicated things
Ni bora ukaamini Mungu yupo usimkute kuliko uamini Mungu hayupo halafu umkute..Mtu aamini Mungu yupo asiamini kuwa yupo haibadili kitu. Siku akikata roho akaondoka duniani ndio itadhihirika kwake alichoamini ni kweli au uongo.
Kuna link kati ya mambo ya afanyayo binadam yakastaajabisha ulimwengu na uwepo wa nguvu ya ziada inayozidi uwezo wa binadamu (super natural power). Nguvu hii huweza kuwa imetokana na ulimwengu wa roho wa nuru (Godly) Au ulimwengu wa roho wa giza (satanic). Ni rahisi kujua, ukiona anayefanya mambo makubwa anatabia zinazopingana na Mungu basi nguvu zinazomsapoti ni satanic. Mfano huyo asiyeamini uwepo wa Mungu, au anayeinfluence ushoga (Tim Cook) n.k.
KIRANGA NI SHENZY-TYPE.
Ni bora ukaamini Mungu yupo usimkute kuliko uamini Mungu hayupo halafu umkute..
Kiranga.Waafrika?
wayahudi ni wana wa mungu,kipenz cha mungu,wa kwanza kumjua mungu wa kweli,kwanin wakrsto msisubr huyo masiha?
Proof ipo unless uwe hujasoma tu Bible but deep inside my heart i believe there is GOD who created each and everything we see in this world and the entire universe.Aha! Kumbe mnaamini kuwa yupo kwa sababu ya uoga kuwa mnaweza msiamini halafu mkakuta yupo na si kwamba kuna proof kuwa yupo? Afadhali wewe umesema kweli!
You cannot give evidence for No God.
Proof ipo unless uwe hujasoma tu Bible but deep inside my heart i believe there is GOD who created each and everything we see in this world and the entire universe.
Do you believe or is there proof??
If uou believe, there is no proof.
If you have the proof, you can't believe.
Do you even understand that?
mkuu,kuna mengi,maana wakristo weng wanawatetea wayahudi na hapo hapo wanasema wayahudi hawajitambui kwa kutomkubal kristo wakat wakristo wamefundshwa dini na wayahudimkuu 1701 swali lako limenishika balaa, hapa natafuta pa kutokea
mkuu,kuna mengi,maana wakristo weng wanawatetea wayahudi na hapo hapo wanasema wayahudi hawajitambui kwa kutomkubal kristo wakat wakristo wamefundshwa dini na wayahudi
The Bible is Gods instruction to mankind. He expects all who are willing to read it to, Prove all things; hold fast that which is good (I Thes. 5:21). God would not then expect us to assume His existence while instructing us to prove everything else from His Word specifically through reading the Bible! So get back to my comment perhaps you may understand though am not sure..Do you believe or is there proof??
If uou believe, there is no proof.
If you have the proof, you can't believe.
Do you even understand that?