RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Mtu aamini Mungu yupo asiamini kuwa yupo haibadili kitu. Siku akikata roho akaondoka duniani ndio itadhihirika kwake alichoamini ni kweli au uongo.
Kuna link kati ya mambo ya afanyayo binadam yakastaajabisha ulimwengu na uwepo wa nguvu ya ziada inayozidi uwezo wa binadamu (super natural power). Nguvu hii huweza kuwa imetokana na ulimwengu wa roho wa nuru (Godly) Au ulimwengu wa roho wa giza (satanic). Ni rahisi kujua, ukiona anayefanya mambo makubwa anatabia zinazopingana na Mungu basi nguvu zinazomsapoti ni satanic. Mfano huyo asiyeamini uwepo wa Mungu, au anayeinfluence ushoga (Tim Cook) n.k.
KIRANGA NI SHENZY-TYPE.