Why hampo serious nyie wanawake wa humu?

Why hampo serious nyie wanawake wa humu?

Em01

New Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
4
Reaction score
13
Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha ukimtumia yeye hakutumii halafu anapotea, halafu wanawake hao hao ndio wa kwanza kulalamika wanaume wabaya wanaume hawapo serious kumbe wao ndo tatizo.

Akili zenu mnazijua wenyewe hatujui mliongea nini na nyoka pale bustanini!
 
Pole punguza hasira kidogo.
Umu jukwaani tegemea yote pamoja na matapeli pia, kumpata mtu serious haiwezi kua rahisi pia
 
Nahisi wewe ndo haupo serious, mimi mchumba wangu nimempata humu humu ndani na mambo yetu yapo super
 
Wanawake/wanaume waliopo jamii Forum

1. Ndio haohao wapo mitaani
2. Ndio haohao wapo makazini
3. Ndio haohao wapo michezoni
Nk

Njia nyepesi fuata principle ya mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Pambana na wanaokuzunguuka, ndio urefu wa kamba yako.
 
Humu waongo wengi ,
Vumilia Mkuu na pole sana ..
 
Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha ukimtumia yeye hakutumii halafu anapotea, halafu wanawake hao hao ndio wa kwanza kulalamika wanaume wabaya wanaume hawapo serious kumbe wao ndo tatizo.

Akili zenu mnazijua wenyewe hatujui mliongea nini na nyoka pale bustanini!
Pole
 
Tupo tulio serious sema hujatutafuta
 
Unachopaswa kujua kuwa hata wanawake nao wanahitaji kuwa na wanaume wa ndoto zao,sasa unapotuma picha halafu anaona huyu sie ninaye mtaka lazima aingie mitini,au anahitaji mwanaume ambaye mwenye uwezo flani kiuchumu halafu anagundua mizinga anayokupiga haileti majibu chanya usitegemee ataendelea kuwasiliana na wewe.Cha muhimu mkuu tafuta hela kwa nguvu zote,ukishakuwa nazo huwa hawaangalii sura yako au umbo lako linafanana vipi lazima utapendwa tu...
 
Ila mtoa mada kama ulicho kisema kina ukweli vileee....!! 🤔 Anyway, wacha tu nijinyamazie.

Nimeamua nitafute tu mzee mwenzangu huku huku mtaani nilipo. Nitajitahidi kuzipuuza avatar za humu jukwaani.
 
Bora FB na IG hata utaangalia profile yake hapa njoo tujadili siasa na utani tu😅😅😅
 
Pole sana hili la kutokuwa serious liko kwa pande zote na siyo kwa Wanawake tu, tafuta huko mtaani kwako unakoishi, kazini, n.k.
 
Anayeomba picha na kupotea achana naye maana bado hajafika mwisho wa safari yake.
 
Back
Top Bottom