Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha ukimtumia yeye hakutumii halafu anapotea, halafu wanawake hao hao ndio wa kwanza kulalamika wanaume wabaya wanaume hawapo serious kumbe wao ndo tatizo.
Akili zenu mnazijua wenyewe hatujui mliongea nini na nyoka pale bustanini!
Akili zenu mnazijua wenyewe hatujui mliongea nini na nyoka pale bustanini!