Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

Are we her? Wanaume wa siku hizi mnadeka sana..Sasa unalia nini badala umuulize mwenyewe
 
Pwagu vs pwaguzi....siku akili ikirudi ndo utajua unapoteza time
 
Una shida wewe. Jitafakari upya
 
Huu muda ulioandika gazeti ilitosha uandike maneno mawili tu kumuuliza yeye muhusika kuwa "kwanini umeni-unblock" sasa unakuja kutuuliza sisi?
Ila lucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]
 
1.wakorea wasikudanganye kijana. Mambo ya soulmate yaliishaga mwaka 1958. Sikuhizi tunatembea na fursa tu. Baby dady wake asingemuacha wala msingekuwa mnablokiana now.
2.kubutua ni kudra za Mola wako. Usimpe sifa binadamu mwenzako. Mshukuru na kumtukuza alokuruzuku.
3.typing......
4.kupost status na kuview mambo zetu sisi kina mama naa na shogaangu mama sele. Yani mtu sijui upost, Mara a post umsifie sijui usipomsifia ananuna.😓😓🤓 weeee, makaziyoteyanini? Nimeogopa kwa kweli.
5. 🤐🤐🤐 no comment.
 
Kwa sisi wapenda soka tunatafsiri kama ifuatavyo;

Mapenzi yenu ni sawa na adhabu ya club toka kwa vyama vya mpira CAF&FIFA.


Mchezaji akishtaki club inafungiwa usajili na ikilipa inafunguliwa.

Hongera mkuu kwa kuchagua njia ya kuishi ktk mahusiano yenu.
 
Reactions: _ly
Dah wewe jamaa bado haujakua mimi sina namba hata ya ex girlfriend wangu sasaivi nipo single nina list ya mademu wengi ila sijajua yupi awe wangu hadi nitoke nao out several dates sasa endelea kung'ang'ania wapenzi wako wazamani mimi hata nikipishana nao road mikausho mikali
 
Reactions: _ly
Umekua mtumwa wa mapenzi, uzuri huyo dada ni anajua udhaifu wako so anaenda huko anajaribu akishindwa anajua chaka lake lipo akitekenya kidogo tu unawaka.

Anyway, nipe namba yake nikusaidie kumuhoji ili tujue kwanini amekuunblock.
 
Get a life brother.

Unarudiana vipi na mwanamke ambae mmeachana for 5 good years, kaenda huko kazalishwa na mwanaume mwingine? Sawa mmerudiana, bado unaruhusu mwanamke huyo huyo anakuendesha? Like seriously?

Just how weak are you?? Umelogwa?

Kwa kifupi, huyo mwanamke ameshajua wewe ni kinyago chake, akijisikia anaku block, ukilia lia anaku unblock, yaani anaku control anavyotaka. Ukute wewe hujawahi ata kumblock kazi yako ni kubembeleza tu..

And please cut the intuition sijui telepathy crap, unajidhalilisha!!
 
SINGO MAZA TENA??

Kweli kuna vijana mnatumia matako kuwaza badala ya akili.

Hii nchi tuna wapumbavu wengi sana... Eti soul mate!... Shenzi kabisa.

Nachukia sana Mwanaume anayeteswa na singo maza, Angekuwa soul mate wako angeenda kutusuliwa na akazaa?, Huoni kama unapoteza muda kumuwaza mke wa mtu?

Alafu unaonekana mapenzi umeyaanza juzi tu... Ulivofinyiwa kwa ndani na ukanyonywa dushe basi ukachanganyikiwa mwenyewe
 
Soma na hapa mana naona akili yako bado imelala

 
Hakuna kitu kingine hapa zaidi ya utoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…