Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

Are we her? Wanaume wa siku hizi mnadeka sana..Sasa unalia nini badala umuulize mwenyewe
 
Pwagu vs pwaguzi....siku akili ikirudi ndo utajua unapoteza time
 
She is my soulmate..

As a general rule. Siwezi kabisa kutoka na single mother but she is an exception. Nahisi ana nyota yangu nikiwaga nae huwaga nabutua sana . Nimefanya nae vitu vingi sana nimemsaidia vitu vingi sana amenisaidia vitu vingi sana ..

Moja kati ya vitu ambavyo amenifudisha. She has taught me how to be a real man.

Being a real man ni pale mwanaume unapokuwa na uwezo wa kuendelea kumpenda mwanamke licha ya maudhi yake. ( wanawake mna maudhi sana nyie)

Sasa huyu mwanamke amenifudisha kuvumilia maudhi ya mwanamke. Kwangu ni kitu kikubwa sana hicho sikutegemea on earth kwamba siku moja nitakuja kuwa na uwezo wa kuvumilia maudhi ya wanawake.
Una shida wewe. Jitafakari upya
 
1.She is my soulmate..
2.Nahisi ana nyota yangu nikiwaga nae huwaga nabutua sana . 3.Nimefanya nae vitu vingi sana.

4.Moja kati ya vitu ambavyo amenifudisha. She has taught me how to be a real man.
5.sasa huyu mwanamke amenifudisha kuvumilia maudhi ya mwanamke.
1.wakorea wasikudanganye kijana. Mambo ya soulmate yaliishaga mwaka 1958. Sikuhizi tunatembea na fursa tu. Baby dady wake asingemuacha wala msingekuwa mnablokiana now.
2.kubutua ni kudra za Mola wako. Usimpe sifa binadamu mwenzako. Mshukuru na kumtukuza alokuruzuku.
3.typing......
4.kupost status na kuview mambo zetu sisi kina mama naa na shogaangu mama sele. Yani mtu sijui upost, Mara a post umsifie sijui usipomsifia ananuna.😓😓🤓 weeee, makaziyoteyanini? Nimeogopa kwa kweli.
5. 🤐🤐🤐 no comment.
 
Kwa sisi wapenda soka tunatafsiri kama ifuatavyo;

Mapenzi yenu ni sawa na adhabu ya club toka kwa vyama vya mpira CAF&FIFA.


Mchezaji akishtaki club inafungiwa usajili na ikilipa inafunguliwa.

Hongera mkuu kwa kuchagua njia ya kuishi ktk mahusiano yenu.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Dah wewe jamaa bado haujakua mimi sina namba hata ya ex girlfriend wangu sasaivi nipo single nina list ya mademu wengi ila sijajua yupi awe wangu hadi nitoke nao out several dates sasa endelea kung'ang'ania wapenzi wako wazamani mimi hata nikipishana nao road mikausho mikali
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Umekua mtumwa wa mapenzi, uzuri huyo dada ni anajua udhaifu wako so anaenda huko anajaribu akishindwa anajua chaka lake lipo akitekenya kidogo tu unawaka.

Anyway, nipe namba yake nikusaidie kumuhoji ili tujue kwanini amekuunblock.
 
Ni mwanamke wangu tuliependana sana tukiwa chuo. She was extremely beautiful. Ila alikuwa anajisikia sana. She got a very big ego. Alinizingua sana tukiwa chuo nikaachana nae tukaja kukutana miaka mitano baada ya Mimi kumaliza chuo yeye alitangulia kwa mwaka mmoja tukaanza upya tena this time she was a single mother.

Mwanzoni alikuwa na nidhamu sana ila baada ya kujiridhisha kuwa bado nampenda kama zamani akaanza tena mideko yake.

Ni Raia wa nchi jirani so anaishi nchini kwao na mimi nchini kwetu. Normally huwa anakuja Bongo na Mimi naenda kwao.

Tumekua na on and off relationship for a very long time.

Na amesha ni block kama mara tatu ambazo hata hivyo alikuwa honestly.

Mwanzoni nilipost picha za baby mama wangu kumuwish a happy birthday. My baby mother is more beautiful than her but I love her the most kwa sababu kuna vitu anavyo sijaviona kwa mwanamke yoyote yule duniani. I cant even explain them. So her action was justifiable. Nikamuomba msamaha via email mwisho wa siku tukayamaliza tukaanza upya tena..

Akaja kuniblock tena kama mara 2 nyingine kwa sababu ya hasira na wivu na zote tulikuwa tukayamaliza baada ya muda fulani.

This time around ni kama vile she was done with me. Na sio kwamba nina mtreat vibaya la hasha ila tatizo lake ni anaamini sana katika intuitions zake. Maamuzi yake mengi dhidi yangu amekuwa akiyafanya just based on her intuitions. Kwa mfano kuna kipindi nilienda kisarawe vijijini huko nikakaa kama wiki moja hakukuwa na network na umeme shida and in addition to that simu yangu ikaharibika. So baada ya hizo siku saba niliporudi mjini nikakuta emails kibao ana complain anasema nipo na malaya zangu ndio maana nimemzimia simu, but before that nilimuandikia email kimuelezea what was going on. Kesho yake nikanunua simu mpya nikamtext akawa harespond nikawa najaribu kumuelewesha mwisho wa siku akaniblock. Nikahamia kwenye email kumplease..

Siku ulivyo kaa sawa akaniambia alikasirika sana namuona yeye kama mtoto kwamba kwanini namdanganya simu imeharibika wakati nawasiliana nae kwa email what am I hiding. Nikamjibu nilienda kwenye internet cafe sikutumia simu basi kidogo akaelewa.

Au anaweza kupost picha zake status, nisipomsifia inakuwa ni ishu kubwa sana au nisipo view anakasirika hadi ana ni block na anafanya hivyo bila kuniambia so nikija kugundua kwamba ameniblock nikamtext ndo anafunguka how comes nimeshindwa kuview status zake au kusifia..

Sasa hii mara ya mwisho kaniblock kama miezi miwili nikamtext email kibao akasema amechoka na vituko vyangu na ame move on na ananiombea na Mimi niweze ku move on. Nikamwambia kama umeamua hivyo sawa.

Wiki 3 zilizopita nilipatwa na intuition kwamba she need me to talk to her. She want to talk to me but she cant cause she has a very big ego. She need me start the conversation. ( Most of the time Mimi na yeye huwa tuna communicate through telephathy cause our bond was very deep. Yaani nikiwa namuwaza basi na yeye anakuwa ananiwaza kweli. It has happened so many times. So siku hiyo niliahisi pia may be she was praying for me to start a conversation with her or she was just deeply thinking about me and/or wishing me to talk to her.

Nikajifikiria zaidi ya mara 2 nikasita kumtext kwa sababu maneno yangu ya mwisho kwake yalikuwa ni " I will never disturb u with my emails again unless you allow me to do that" Niliwambia hivyo kwa sababu aliniambia nisimsumbue kumtumia emails zangu na kwamba Mungu amemuonyesha kwamba Mimi sio mume wake.

Juzi niliweka status yangu, wakati natazama who viewed my status nashangaa naona na yeye ameview. Naenda kutazama profiles zake nagundua namba yake moja ime ni unblock ila nyingine bado ime ni block.

Swali langu kwa wataalamu wa saikolojia ya wanawake na mahusiano.

WHY HAS SHE UNBLOCKED ME? WITHOUT LETTING ME KNOW THAT SHE HAS UNBLOCKED ME?
Get a life brother.

Unarudiana vipi na mwanamke ambae mmeachana for 5 good years, kaenda huko kazalishwa na mwanaume mwingine? Sawa mmerudiana, bado unaruhusu mwanamke huyo huyo anakuendesha? Like seriously?

Just how weak are you?? Umelogwa?

Kwa kifupi, huyo mwanamke ameshajua wewe ni kinyago chake, akijisikia anaku block, ukilia lia anaku unblock, yaani anaku control anavyotaka. Ukute wewe hujawahi ata kumblock kazi yako ni kubembeleza tu..

And please cut the intuition sijui telepathy crap, unajidhalilisha!!
 
SINGO MAZA TENA??

Kweli kuna vijana mnatumia matako kuwaza badala ya akili.

Hii nchi tuna wapumbavu wengi sana... Eti soul mate!... Shenzi kabisa.

Nachukia sana Mwanaume anayeteswa na singo maza, Angekuwa soul mate wako angeenda kutusuliwa na akazaa?, Huoni kama unapoteza muda kumuwaza mke wa mtu?

Alafu unaonekana mapenzi umeyaanza juzi tu... Ulivofinyiwa kwa ndani na ukanyonywa dushe basi ukachanganyikiwa mwenyewe
 
Soma na hapa mana naona akili yako bado imelala

 
Hakuna kitu kingine hapa zaidi ya utoto...
 
Back
Top Bottom