MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Mzee baba Kama Magu kaweza ,,Lissu atashindwa nini?..,KIFO CHA CHADEMA KITATOKANA NA KUMSIMAMISHA NYALANDU,,,,,WATACHAPWA URAIS ,,UBUNGE NA UDIWANI,,,KUMSIMAMISHA NYALANDU NI FIRST CLASS MISTAKE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huko unakompeleka mbona na kwenyewe anaweza kuwa mkuu wa nchi? Kwa mfano umesema anaweza kuwa Spika au Jaji Mkuu, hivi unajua hivi vyeo viwili kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977 hao wawili wako kwenye mlolongo wa kuongoza nchi endapo litatokea la kutokea? Tukubali tu kwamba itakavyokuwa na iwe, ila wajumbe wasilete za kuletwa kabisa jamii iko tayari kwa TAML na si vinginevyo!Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Una ushahidi au unafuata maneno ya kwenye mitandao.Maadili kwa kiongozi ni muhimu ndiyo maana JPM juzi kamtumbua kijana anayetongoza wake za watu.
Sasa rais akiwa ndo mmendea wake za watu si itakuwa ni balaa kubwa?
We waache wakubali ushauri wa mataahira ya Lumumba tutapigia CCM sisi shauri yao! Wasipomrudisha Lissu ndio kwaheri yao hiyo! Lissu akirudi majimbo yote ya Singida CHADEMA wanachukua! Nyalandu angeenda kugombea Singida Kaskazini ili wakishinda wampe uwaziri mkuu!Mzee baba Kama Magu kaweza ,,Lissu atashindwa nini?..,KIFO CHA CHADEMA KITATOKANA NA KUMSIMAMISHA NYALANDU,,,,,WATACHAPWA URAIS ,,UBUNGE NA UDIWANI,,,KUMSIMAMISHA NYALANDU NI FIRST CLASS MISTAKE
Magufuli anabebwa na chama chake. Chadema siku zote hakinaga hela ya Kampeni, kinakopeshwaga na Mwenyekiti. So lazima waangalie mtu anaejiweza kama ilivyokua kwa Lowassa.Magufuli ana hela za kupiga kampeni?
Jimboni Lisu alikokuwa mbunge kwake hajafanya lolote tofauti na wenzie akina Mbowe na Msigwa na Nyalandu.Uwezo wa kuongoza unaanzia kwake sio taifa.Raisi Magufuli alipewa uongozi baada ya kuonyesha uwezo mkubwa sana wa kimaendeleo jimboni kwake akiwa mbunge.Lisu hajui how to grow politically YEYE ohhh nataka uraisi hajui hata protocol za kuheshimu raisi ili aendeleze jimboni kwako cheki wenzie waliokoamaa kisiasa wanavyojua kucheza na politics mcheki MBOWE hapa.Lisu hili hawezi ni too immature politicallyLissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Mzee Edwin hawezi toa baraka kwake, hilo liko wazi.Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Kennedy Kaunda = Kenenth KaundaTukielewa dhana ya uanaharakati utajifunza kuwa kwa muktadha wa Africa ina historia ya kuwa na activist presidents.
Kwa lugha rahisi tunaweza kusema Activism is the process of campaigning in public or working for an organization in order to bring about political or social change. He believed in political activism to achieve justice.
Je, ni sahihi tukisema kuwa Kwame Nkurumah, Patrice Lumumba, Jomo Kenyata, Kennedy Kaunda, Nelson Mandela walikuwa ni activist presidents?
Akae huko ili apate experience ya uongozi KwanzaSasa huko unakompeleka mbona na kwenyewe anaweza kuwa mkuu wa nchi? Kwa mfano umesema anaweza kuwa Spika au Jaji Mkuu, hivi unajua hivi vyeo viwili kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977 hao wawili wako kwenye mlolongo wa kuongoza nchi endapo litatokea la kutokea? Tukubali tu kwamba itakavyokuwa na iwe, ila wajumbe wasilete za kuletwa kabisa jamii iko tayari kwa TAML na si vinginevyo!
Bangi hizo!Tulia wewe cdm tushaamua yetu, na habari ziwafikie mataga wote kuwa baada ya October watakuwa chini ya uongozi makini wa Mh Lissu.
Hii hapa chini ni picha ambayo itatumika kwenye maofisi na sehemu zote zinazo hitajika kuwa na picha ya kiongozi wa nchi.
View attachment 1524561
Nipe mfano m1 tu wa mafanikio ya Lisu katika uonhozi kuthitisha unalolisema. Isije kuwa unapiga ramri.Lissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Ni kweli hata yule Lowasa hawakukoseaUnajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu. Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.
CHADEMA huwa hawabahatishi. Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Duh.. yaani wakati mwingine unaweza kuhisi kuna binadamu wengine vichwani mwao kuna kitu tofauti na huu ubongo tulionao.Huwezi mlinganisha lissu na Jpm, kiuongozi lissu is much better.Jpm anaweza machache sio uongozi
Yaani nyinyi akili zenu zinawaza kabisa Chadema wanaweza kuchukua dola kwa huyu Lissu wa kwenye mitandao?We waache wakubali ushauri wa mataahira ya Lumumba tutapigia CCM sisi shauri yao! Wasipomrudisha Lissu ndio kwaheri yao hiyo! Lissu akirudi majimbo yote ya Singida CHADEMA wanachukua! Nyalandu angeenda kugombea Singida Kaskazini ili wakishinda wampe uwaziri mkuu!
Tofautisha nyakati na kitu walichokua wanapigania hao watu. Halafu uone kwasasa kama tunahitaji watu wa aina hiyo.Tukielewa dhana ya uanaharakati utajifunza kuwa kwa muktadha wa Africa ina historia ya kuwa na activist presidents.
Kwa lugha rahisi tunaweza kusema Activism is the process of campaigning in public or working for an organization in order to bring about political or social change. He believed in political activism to achieve justice.
Je, ni sahihi tukisema kuwa Kwame Nkurumah, Patrice Lumumba, Jomo Kenyata, Kennedy Kaunda, Nelson Mandela walikuwa ni activist presidents?