Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

Mzee baba Kama Magu kaweza ,,Lissu atashindwa nini?..,KIFO CHA CHADEMA KITATOKANA NA KUMSIMAMISHA NYALANDU,,,,,WATACHAPWA URAIS ,,UBUNGE NA UDIWANI,,,KUMSIMAMISHA NYALANDU NI FIRST CLASS MISTAKE
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Sasa huko unakompeleka mbona na kwenyewe anaweza kuwa mkuu wa nchi? Kwa mfano umesema anaweza kuwa Spika au Jaji Mkuu, hivi unajua hivi vyeo viwili kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977 hao wawili wako kwenye mlolongo wa kuongoza nchi endapo litatokea la kutokea? Tukubali tu kwamba itakavyokuwa na iwe, ila wajumbe wasilete za kuletwa kabisa jamii iko tayari kwa TAML na si vinginevyo!
 
NA KAMA CHADEMA MTAMSIMAMISHA NYALANDU ,,,NITAMPIGIA KURA MAGUFULI,,,
 
Du kwa yale makerere mi naona uanaharakati ndo saizi yake mengine yote unayompachika hapo juu bado yanahitaji busara kuongoza.
 
Mzee baba Kama Magu kaweza ,,Lissu atashindwa nini?..,KIFO CHA CHADEMA KITATOKANA NA KUMSIMAMISHA NYALANDU,,,,,WATACHAPWA URAIS ,,UBUNGE NA UDIWANI,,,KUMSIMAMISHA NYALANDU NI FIRST CLASS MISTAKE
We waache wakubali ushauri wa mataahira ya Lumumba tutapigia CCM sisi shauri yao! Wasipomrudisha Lissu ndio kwaheri yao hiyo! Lissu akirudi majimbo yote ya Singida CHADEMA wanachukua! Nyalandu angeenda kugombea Singida Kaskazini ili wakishinda wampe uwaziri mkuu!
 
Tukielewa dhana ya uanaharakati utajifunza kuwa kwa muktadha wa Africa ina historia ya kuwa na activist presidents.

Kwa lugha rahisi tunaweza kusema Activism is the process of campaigning in public or working for an organization in order to bring about political or social change. He believed in political activism to achieve justice.

Je, ni sahihi tukisema kuwa Kwame Nkurumah, Patrice Lumumba, Jomo Kenyata, Kennedy Kaunda, Nelson Mandela walikuwa ni activist presidents?
 
Magufuli ana hela za kupiga kampeni?
Magufuli anabebwa na chama chake. Chadema siku zote hakinaga hela ya Kampeni, kinakopeshwaga na Mwenyekiti. So lazima waangalie mtu anaejiweza kama ilivyokua kwa Lowassa.
 
Lissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Jimboni Lisu alikokuwa mbunge kwake hajafanya lolote tofauti na wenzie akina Mbowe na Msigwa na Nyalandu.Uwezo wa kuongoza unaanzia kwake sio taifa.Raisi Magufuli alipewa uongozi baada ya kuonyesha uwezo mkubwa sana wa kimaendeleo jimboni kwake akiwa mbunge.Lisu hajui how to grow politically YEYE ohhh nataka uraisi hajui hata protocol za kuheshimu raisi ili aendeleze jimboni kwako cheki wenzie waliokoamaa kisiasa wanavyojua kucheza na politics mcheki MBOWE hapa.Lisu hili hawezi ni too immature politically

 
Mzee Edwin hawezi toa baraka kwake, hilo liko wazi.
 
Kennedy Kaunda = Kenenth Kaunda
 
Akae huko ili apate experience ya uongozi Kwanza
 
Bangi hizo!
 
Lissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Nipe mfano m1 tu wa mafanikio ya Lisu katika uonhozi kuthitisha unalolisema. Isije kuwa unapiga ramri.
 
Unajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu. Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.

CHADEMA huwa hawabahatishi. Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Ni kweli hata yule Lowasa hawakukosea
 
Kipindi hiki mihemko na jazba za watu ziko juu sana!!!....si kipindi salama cha kuleta hoja zinazohitaji upembuzi yakinifu na mawazo ya kiuchambuzi......
 
Huwezi mlinganisha lissu na Jpm, kiuongozi lissu is much better.Jpm anaweza machache sio uongozi
Duh.. yaani wakati mwingine unaweza kuhisi kuna binadamu wengine vichwani mwao kuna kitu tofauti na huu ubongo tulionao.
 
Yaani nyinyi akili zenu zinawaza kabisa Chadema wanaweza kuchukua dola kwa huyu Lissu wa kwenye mitandao?
 
Tofautisha nyakati na kitu walichokua wanapigania hao watu. Halafu uone kwasasa kama tunahitaji watu wa aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…