Barakoa inafanana na titi 1 hivi lililokatwa.Nipo na ww mkuu lissu kiukweli hafit kwenye urais mwamba amejaa chuki na visasi sana...ukimwangalia unaona kabisa hana spirit ya uongozi hasa ngazi ya uraisi...
Sins shida na mapenzi yako kwa Lissu. Hata ukiamua kumpa mamaako au mkeo. Ila kwenye Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushindana na Rais Magufuli ni sawa sawa na Burundi ku declare a face to face battle na Marekani!!!Acha kumfananisha LISSU na Mambo ya kijinga weee
Acheni kupotosha watuLissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Acha kukariri. Utakuwa huelewi uana harakati ni nini na harakati hiyo hufanya kwa nani na kwa lengo lipi. Kwa kifupi "manaharakati ni mpigania haki za umma toka kwa mtawala ama yeyote anayenyima haki na kugandamiza wengine. Ni mtu mwenye kutamani kuona haki , usawa na ustawi wa jamio nzima." Sasa hapo unamuona huyo mtu ni mbaya? Je yule anayekuongza sasa ambaye hajawahi kuwa mwanaharakati unaonaje hali ilivyo? Au nawe ni muongoni mwa wakandamizao wengine?Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Mshindani yeyote hata mjinga kama mleta mada hii huchagua kibonde (weak point) ili ajaribu bahati ya kushinda au kufurukuta maana atakuwa mjinga zaidi au mpumbavu akishindana na bingwa akijua. Sifa anazopewa Lissu na huyu mtafuta uteuzi hakuna Rais toka Uhuru ikiwa ni pamoja na hata wa Awamu ya Tano aliyekuwa nayo hata sifa moja kati ya hizo. Ni kweli Nyalandu ana pesa alizopata akiwa Waziri wa Mali Asili alipouza twiga, tembo, nk huku kweli Lissu hana pesa maana kidogo alizokuwa nazo ametumia kwa matibabu. Lissu, kama Watanzania wengi wenye akili, anaamini Urais siyo bidhaa ya kununua kwa pesa bali ni huduma inayotolewa na mwenye uwezo na ujuzi. Mgombea anayetafutiwa kibonde cha ushindi ana mabulungutu ya fedha za kugawa kuhakikisha anashindà kwa kishindo kwa hiyo Nyalandu pesa yake ni nyembamba kumpa ushindi. Lissu is a genius fit to challenge any CCM candidate and win.Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Wewe ni sisyemu huwez kumuunga mhe lissuLissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Ulitaka Lissu awe na rekodi ya kujenga madaraja au kununua ndege zisizo na faida?Nipe mfano m1 tu wa mafanikio ya Lisu katika uonhozi kuthitisha unalolisema. Isije kuwa unapiga ramri.
Mkuki kwa Nguruwe, kwa binadamu mchungu, au vipiLissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Ni mkosoaji mzr sana lakini ukimpa kazi ya kufanya utamchukia sana!! Ukitaka kuujua umuhimu wake mpe kazi ya kukosoa, hapo utaujua ubora wake.[emoji23][emoji23]Lissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Sijakataa lakini miundombinu siyo rafiki na ndipo ninaposimamia. Hakuna asiyejua kama Maalim Seif alishinda chaguzi zote zilizopita lakini je matokeo yaliakisi uhalisia? Bado tupo katika chaguzi za chama kimoja katika mfumo wa vyama vingi na hata wanasiasa wa upinzani wanalijua hilo. Na nathubutu kusema wanalipenda sababu na wao ni wapigaji kama CCM. Kama kweli walitaka mabadiliko basi wasingesusia bunge la Katiba. Kwao huu mfumo unawasaidia japo hautusaidii sisi wananchi.Huenda uko sahihi, lakini lissu akisimamishwa ushindani utakuwa mkubwa sana, wako wapiga kura wamekata tamaa na jpm
kwa hiyo tufanyeje sasa. tusitishe uchaguzi Magufuri aendelee mpaka atakapochoka?Sijakataa lakini miundombinu siyo rafiki na ndipo ninaposimamia. Hakuna asiyejua kama Maalim Seif alishinda chaguzi zote zilizopita lakini je matokeo yaliakisi uhalisia? Bado tupo katika chaguzi za chama kimoja katika mfumo wa vyama vingi na hata wanasiasa wa upinzani wanalijua hilo. Na nathubutu kusema wanalipenda sababu na wao ni wapigaji kama CCM. Kama kweli walitaka mabadiliko basi wasingesusia bunge la Katiba. Kwao huu mfumo unawasaidia japo hautusaidii sisi wananchi.
Wao wenyewe Waliogopa kumpatia uenyekiti wa Chama Kwa Kuwa ni mlemavu ndo awe rais kweli labda awe liceLissu ameshawahi kutawala wapi? Kama ana uwezo mpeni Chama chenu akitawale maana kina matatizo ya kiuongozi kuliko nchi yetu.
Lissu na Magufuli wana tofuti gani??Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Jibu mujarabu kabisaUnajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu. Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.
CHADEMA huwa hawabahatishi. Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Barabara zote na madaraja, flyover, SGR ni kwa hisani ya watu wa marekani? We unajielewa kweli?Miundombinu HII AMBAYO kwa sehemu Kubwa unakuta mabango yameandikwa "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"? Wadanganye ambao hawajielewi aisee.
Na manyapara je?!Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Mkuu nakubaliana nawwe kuhusu suala la CDM kuogopa kumpa Lissu Uenyekiti. Lakini kwenye Ulemavu hapana. Nadhani siyo busara na uungwana kumsema mtu kutokana na hali yake. Sisi sote ni binadamu na yanaweza kutukuta yaliyomkuta kwasbb yote ni mipango ya mungu. Tujikite kuongelea character ya mtu lakini siyo hali ya mtu. Wapo walemavu ambao wana sifa na wameaminiwa kupewa dhamana mbalimbali za kiuongozi.Wao wenyewe Waliogopa kumpatia uenyekiti wa Chama Kwa Kuwa ni mlemavu ndo awe rais kweli labda awe lice