Why is it sex first marriage next?

Kuna girl aliniambia No Sex Until Marriage kwakua nampenda nikakubali......... Kumbe I was Stupid Washkaji wakanisaidia kumbikiri akiwa chuo mwaka wa 2, wakati huo namhudumia kama mke wangu since nimekutana naye tukiwa kidato cha 3.
ulishindwa kuoa ?
 
Ukiionja mboga kabla ya kuila ndo utajua kama ina chumvi au la. Sasa katika sex kila mmoja ana kitu anacho kipenda, Mwingine anapenda maji mengi na mwingine anapenda maji kidogo au mwingine ukavu huku wengine harufu za papuchi zao zinakuwa kali sana wakati wa sex Hivyo kama hukuonja kabla ukaoa then ukakutana na kimojawapo ambacho wewe hukipendi basi kama si busara ya uvumilivu hiyo ndoa inaweza ikawa hatarini kuvunjika au ikawa na michepuko mingi zaidi, umesha wahi jiuliza kwanini baadhi ya ndoa zinafungwa kwa gharama na sherehe kubwa harafu ndani ya miezi michache zinavunjika?
 
kwahiyo unapingana na Maagizo ya muumba? wahenga waliwezaje
 
Because you need to know if you’re compatible in bed, otherwise there is no point to waste your time.

 
kwahiyo mkuu kanuni hii ni kwa wale ambao ni used tu au hata walio "sealed"?
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kama alikujibu namimi pia naombakuongezea... hii kanuni ina apply kwa wote
 
Mi nikipewa papuchi ndo kidogo naanza kuamini napendwa, na baada ya hapo ndo tunaweza kuendelea na mahusiano kama viungo vya uzazi vitaendana.

Hii papuchi nnayosemea ni ile unapewa bure hujatoa hata buku sio ya kuuziwa[emoji23]
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ sahihi kabisa...huo ni ujinga ambao siwezi kuja kuufanya
 
Sababu ni kuwa hamna BIKRA mkuu, umeitoa kwa Chipsi kuku huko halafu mi nije kukubali kusubiri hadi ndoa si ntakua mwendawazimu
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kama bado hujaoa au kuolewa, usikubali kuingia kwenye ndoa bila kuonja kwanza. Angalau ujue kuwa kwenye eneo hilo mnaweza kwenda pamoja. Kuna "ngoma" nyingine unakutana nazo mara moja unaboreka big na baada ya hapo hun hamu ya kurudia tena! Sasa imagine ndio mshaoana "kikatoliki"....utaishi na hiyo dissapointmemt maisha yako yote?! Hapana aisee!

NB: Framework ya ushauri huu ni ya kisekula sio ya kidini. Changanya na zako!
 
Kuna watu hawafundishiki mkuu,kuna mtu nimekuwa naye kwa miaka mitano leo,hata miguno kwake mtihani na ukijaribu kumwelekeza ni kama anachukia hivi "mimi siwezi kukatika tafuta anayejua kukatika "

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ huyo ndiye defination ya mbuzi katika gunia sasa. kama ulikuwa haujui..yaani hapo ulipigwa changa la macho
 
 
Kwanini wanawake wanapenda kuomba Sana pesa wakati au mwanzoni mwa mahusiano. Utasikia naomba nikuambie kitu . Ujue ni mzinga wa pesa unapigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama na wewe upo serious nae huwezi acha kumpa hata mara mbili au tatu kwani tatizo lipo wapi?? .
Mwanamke tambua unaolewa ili utoe sex mengine baadae au hayahesabiki.

Unaolewa na mwanamme for sex. This is Truth.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…