Why is it sex first marriage next?

Why is it sex first marriage next?

Kuna girl aliniambia No Sex Until Marriage kwakua nampenda nikakubali......... Kumbe I was Stupid Washkaji wakanisaidia kumbikiri akiwa chuo mwaka wa 2, wakati huo namhudumia kama mke wangu since nimekutana naye tukiwa kidato cha 3.
ulishindwa kuoa ?
 
Ukiionja mboga kabla ya kuila ndo utajua kama ina chumvi au la. Sasa katika sex kila mmoja ana kitu anacho kipenda, Mwingine anapenda maji mengi na mwingine anapenda maji kidogo au mwingine ukavu huku wengine harufu za papuchi zao zinakuwa kali sana wakati wa sex Hivyo kama hukuonja kabla ukaoa then ukakutana na kimojawapo ambacho wewe hukipendi basi kama si busara ya uvumilivu hiyo ndoa inaweza ikawa hatarini kuvunjika au ikawa na michepuko mingi zaidi, umesha wahi jiuliza kwanini baadhi ya ndoa zinafungwa kwa gharama na sherehe kubwa harafu ndani ya miezi michache zinavunjika?
 
Ukiionja mboga kabla ya kuila ndo utajua kama ina chumvi au la. Sasa katika sex kila mmoja ana kitu anacho kipenda, Mwingine anapenda maji mengi na mwingine anapenda maji kidogo au mwingine ukavu na wengine harufu zao zinakuwa kali Hivyo kama hukuonja kabla ukaoa then ukakutana na kimojawapo ambacho wewe hukipendi basi kama si busara ya uvumilivu hiyo ndoa inaweza ikawa hatarini kuvunjika au ikawa na michepuko mingi zaidi, umesha wahi jiuliza kwanini baadhi ya ndoa zinafungwa kwa gharama na sherehe kubwa harafu ndani ya miezi michache zinavunjika?
kwahiyo unapingana na Maagizo ya muumba? wahenga waliwezaje
 
Because you need to know if you’re compatible in bed, otherwise there is no point to waste your time.

Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.

Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.

Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
 
Mi nikipewa papuchi ndo kidogo naanza kuamini napendwa, na baada ya hapo ndo tunaweza kuendelea na mahusiano kama viungo vya uzazi vitaendana.

Hii papuchi nnayosemea ni ile unapewa bure hujatoa hata buku sio ya kuuziwa[emoji23]
😃😃
 
Hiyo ndio dudu ya mumeo wa ndoa mlioona bila kutest, Yan ukiona mwanaume anakubali kuoana bila kufanya sex weka doubt sababu naturally wanaume wanapenda sex, yan hapo ni kama anakuwa anakuuzia mbuz kwenye gunia.

NB: Siwez kukubali relationship bila sex yan hata huyo mwanamke awe malaika.


Sent from my iPhone using JamiiForums
😃😃😃 sahihi kabisa...huo ni ujinga ambao siwezi kuja kuufanya
 
Kama bado hujaoa au kuolewa, usikubali kuingia kwenye ndoa bila kuonja kwanza. Angalau ujue kuwa kwenye eneo hilo mnaweza kwenda pamoja. Kuna "ngoma" nyingine unakutana nazo mara moja unaboreka big na baada ya hapo hun hamu ya kurudia tena! Sasa imagine ndio mshaoana "kikatoliki"....utaishi na hiyo dissapointmemt maisha yako yote?! Hapana aisee!

NB: Framework ya ushauri huu ni ya kisekula sio ya kidini. Changanya na zako!
 
Kuna watu hawafundishiki mkuu,kuna mtu nimekuwa naye kwa miaka mitano leo,hata miguno kwake mtihani na ukijaribu kumwelekeza ni kama anachukia hivi "mimi siwezi kukatika tafuta anayejua kukatika "

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃 huyo ndiye defination ya mbuzi katika gunia sasa. kama ulikuwa haujui..yaani hapo ulipigwa changa la macho
 
Lakini kuna watu wanaonjana na bado hawadumu katika ndoa.

Unajua mkuu katika kipindi hicho cha kuonjana mtu anaweza kupretend, kisha ukaingianae kwenye ndoa na bado ukakutana na usivyovipenda.

Na ndoa haishikiliwi na sex peke yake.

Na pia sababu za kuvunjika ndoa mapema zipo nyingi.
[/QUOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kuna watu wanaonjana na bado hawadumu katika ndoa.

Unajua mkuu katika kipindi hicho cha kuonjana mtu anaweza kupretend, kisha ukaingianae kwenye ndoa na bado ukakutana na usivyovipenda.

Na ndoa haishikiliwi na sex peke yake.

Na pia sababu za kuvunjika ndoa mapema zipo nyingi.
 
Kwanini wanawake wanapenda kuomba Sana pesa wakati au mwanzoni mwa mahusiano. Utasikia naomba nikuambie kitu . Ujue ni mzinga wa pesa unapigwa
Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.

Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.

Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama na wewe upo serious nae huwezi acha kumpa hata mara mbili au tatu kwani tatizo lipo wapi?? .
Mwanamke tambua unaolewa ili utoe sex mengine baadae au hayahesabiki.

Unaolewa na mwanamme for sex. This is Truth.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom