Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Vipi kwanza umesha olewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooooh na wwe baba huruma sasa wanini huyo maana kwenye mahusiano hakuna wanacho offer wanawake zaidi ya sex ,sasa kama hata sector yuko grade f mmmh piga chiniKuna watu hawafundishiki mkuu,kuna mtu nimekuwa naye kwa miaka mitano leo,hata miguno kwake mtihani na ukijaribu kumwelekeza ni kama anachukia hivi "mimi siwezi kukatika tafuta anayejua kukatika "
Sent using Jamii Forums mobile app
Shake well before use.Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
kwa mtazamo wako.Kama na wewe upo serious nae huwezi acha kumpa hata mara mbili au tatu kwani tatizo lipo wapi?? .
Mwanamke tambua unaolewa ili utoe sex mengine baadae au hayahesabiki.
Unaolewa na mwanamme for sex. This is Truth.
Sent from my iPhone using JamiiForums