Why is it sex first marriage next?

Why is it sex first marriage next?

lazima tutest mitambo kwanza maana unaweza kuuziwa bidhaa ilikuwa fake au teyari imesha Expire tena tunapoelekea tutaanza kuwapana mimba kisha ndio tuwaoe.
 
Kuna watu hawafundishiki mkuu,kuna mtu nimekuwa naye kwa miaka mitano leo,hata miguno kwake mtihani na ukijaribu kumwelekeza ni kama anachukia hivi "mimi siwezi kukatika tafuta anayejua kukatika "

Sent using Jamii Forums mobile app
Dooooh na wwe baba huruma sasa wanini huyo maana kwenye mahusiano hakuna wanacho offer wanawake zaidi ya sex ,sasa kama hata sector yuko grade f mmmh piga chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.

Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.

Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Shake well before use.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama na wewe upo serious nae huwezi acha kumpa hata mara mbili au tatu kwani tatizo lipo wapi?? .
Mwanamke tambua unaolewa ili utoe sex mengine baadae au hayahesabiki.

Unaolewa na mwanamme for sex. This is Truth.


Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom