mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
No please mwingira na wanawe siyo mweupeNadhani pia alipaswa kujua mitume na manabii wote walikuwa weupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No please mwingira na wanawe siyo mweupeNadhani pia alipaswa kujua mitume na manabii wote walikuwa weupe
Ata wewe mbona unampiga na uzinzi wako kila waa, atarudi na kuanza na weweMh!! Hivi atarudi kweli!?? Na vile walimpiga?
ni kweli kabisa....ubarikiweUlipaswa ufanye tafiti kwanza ndipo uje humu kutuabarisha. Na sio kuropoka tu.
Kwanza kitabu gani ama ni vitabu vipi umefisoma na kukujuza kuwa manabii na mitume walikuwa weupe?
Hakuna kiupe cheupe duniani. Hakuna Period. These are corrupted terms ambazo mmeaminishwa kwa kuwa wameua uwezo wenu wa kufikiri.
Tangu mwaka 342 Hadi leo, ulimwengu huu umegeuzwa geuzwa pale tu Mtu mweusi alipofanya makosa ya kuzaa na wanawake nje ya taifa lao. Weusi walitapaka dunia mzima na wakawatawala viumbe vyote. Makosa ni pale walipoamua kuzaa na wazungu.
Ili hali waliambiwa msioe wala kuoza kwa mataifa. WE MADE THAT MISTAKE. THATS WHY WE HAVE TO PAY FOR OUR DEEDS.
ELIMU tukawapa hawa watoto hali wajomba zao wakitulindia na kutufanyia kazi zote. Ikawaumiza sana hawa watoto. kwakuwa tuliwapa elimu na mamlaka ndani ya tawala zetu, wakawaelimisha wajomba zao na kufanya striking za mara kwa mara wakadeclare war tukashindwa.
Hapa sasa ndio chanzo za kupoteza kila milki na tukageuzwa kuwa wafungwa wa kivita ndio mwendelezo wa kizazi hiki kisicho na maarifa wala kumbukumbu soma ZABURI YA 83.
Hivyo Elimu nzuri na ya kweli ikaondoshwa ikatengenezwa ya uwongo na kurekebisha hata baadhi ya vitabu vya elimu ya maisha ya kiroho wakahadaa dunia yote na kubadili ama kuficha kabisa ushahidi uwe wa kimaandishi:
Rejea MUSA alipoambiwa na Mungu kuwa Weka mkono wako kifuani halafu toa. Mkono ulibadilika ukawa mweupe. Kumbe MUSA HAKUWA MWEUPE? SOMA UFUNUO WA YOHANA 1:12 UNAELEZA YESU ALIVYOKUWA.
MBONA MAKANISANI HAMFUNDISHWI YALIOPO NDANI YA VITABU HIVI?
DUNIA ILIPOANGUKIA MIKONONI MWA WAZUNGU NDIPO MANABII NA MITUNE WAKABADILIKA GHAFLA WAKAWA WEUPE: WHY?????
Leo wamebadili hata mchoro wao wa Yesu ambao mwanzo alikuwa Therapis mtoto wa Ptolomy. Na wemeweka kuwa Mweusi. WHY NOW????
Acha wehu wewe!? Sasa uzinzi unaingia vip hapo, halafu utajuaje, wakati me ni kasisiAta wewe mbona unampiga na uzinzi wako kila waa, atarudi na kuanza na wewe
🙁🙁🙁Ukristo ulianzia ulaya??Naona kama watu wanatumia nguvu nyingi sana kufafanua hoja bila sababu ya msingi.. Dini maarufu hapa duniani karibia zote zimeanzia mashariki ya kati (uislam na Uyahudi-judaism) ama mashariki ya mbali (Buddhism.. Taoism) ama ulaya (ukristo..) katika maeneo yote haya hakukuwa na watu weusi enzi hizo… kwa hiyo ni sawa manabii wa hizi dini za hawa jamaa wafanane na wakaazi wa huko..
🙁🙁🙁Ukristo ulianzia ulaya??
Asante mkuu kwa kumuelewesha.. Huu ni mji ambao uko kusini mwa nchi ya Uturuki ya sasa. Mjii huu kwa sasa unaitwa ANTAKYAUkristo ulianzia Antokia, mwanzilishi wake ni Paulo.
Nadhani pia alipaswa kujua mitume na manabii wote walikuwa weupe
Naona kama watu wanatumia nguvu nyingi sana kufafanua hoja bila sababu ya msingi.. Dini maarufu hapa duniani karibia zote zimeanzia mashariki ya kati (uislam na Uyahudi-judaism) ama mashariki ya mbali (Buddhism.. Taoism) ama ulaya (ukristo..) katika maeneo yote haya hakukuwa na watu weusi enzi hizo… kwa hiyo ni sawa manabii wa hizi dini za hawa jamaa wafanane na wakaazi wa huko..
"Mtume" Mwingira ni mweusi..upo sahihi mkuumitume na manabii kwani wapo wangapi? hapa bongo tuna manabii na mitume weusi kibao
Walau kidogo inaingia akilini umejitahidi japo ufafanuzi unahitajika zaidi kwa hiloNaona kama watu wanatumia nguvu nyingi sana kufafanua hoja bila sababu ya msingi.. Dini maarufu hapa duniani karibia zote zimeanzia mashariki ya kati (uislam na Uyahudi-judaism) ama mashariki ya mbali (Buddhism.. Taoism) ama ulaya (ukristo..) katika maeneo yote haya hakukuwa na watu weusi enzi hizo… kwa hiyo ni sawa manabii wa hizi dini za hawa jamaa wafanane na wakaazi wa huko..