Why is Kenya's budget bigger than Nigeria's?

Why is Kenya's budget bigger than Nigeria's?

Nazania kwa Nigeria kuna Budget za Majimbo ambazo hizo haziko kwenye Serikali kuu so ukijumlisha na za majimbo unaweza kuta ni kubwa sana
 
Stop telling us about fishy things. You are the only Rotten fishy smell in the house
 
Kenya's GDP < $90 billion alafu budget = $30 billion
Nigeria's GDP > $300 billion alafu budget = $29 billion
Angola GDP > $120 billion alafu budget = $36 billion

Fishy stuff

Correction. Kenya GDP = $99 billion.

Nigeria iko na budget zingine za state, ilhali Kenya, county zinagawiwa kwa hio moja.
 
Mbona hata Tanzania budget zake za Halmashauri ni tofauti na za Serikali kuu?

Ukikusanya halmashauri zote za Tanzania, bajeti inafika ngapi?
Nigeria state zake zina uwezo wa kukusanya tax aina mingi.
Mfano, bajeti ya Lagos pekee yake ni $2.5 billion. Karibu bajeti ya Rwanda.

Pia Kenya kuna bajeti tofauti za counti na manispaa. Ambayo iko kando na hii ya kitaifa. Lakini sio pesa mingi sana.
 
Mbona unajichanganya sana. Wewe umesema Kenya inajumuisha Budget yake na za Counties.
Nimekueleza tanzania ipo na Namna mbili ya Serikali
1. Serikali Kuu
2. Serikali ya mitaa

So serikali ya mitaa inaongozwa na madiwani kwenye Halmashauri.
Hawa wapo na budget yao kulingana na halmashauri.
Tuna fanya kwanjia ya DbyD policy.
 
Fiscal DECENTRALIZATION/FEDERALISM is more elaborate in naija,55% of their total revenue mainly from OIL is disbursed to regional states,its what has been keeping the country together otherwise naija would have broken away into different countries long time ago,the MUSLIM north(hausa-fulani) don't see eye to eye with the christian south(igbos),they hate each other with passion,but the northerners need oil from the south hence a more elaborate fiscal decentralization.kenya disburses around 15% to the counties.
 
Mbona unajichanganya sana. Wewe umesema Kenya inajumuisha Budget yake na za Counties.
Nimekueleza tanzania ipo na Namna mbili ya Serikali
1. Serikali Kuu
2. Serikali ya mitaa

So serikali ya mitaa inaongozwa na madiwani kwenye Halmashauri.
Hawa wapo na budget yao kulingana na halmashauri.
Tuna fanya kwanjia ya DbyD policy.

Sijajichanganya. Wewe ndiye unasoma maneno yako.

Kenya haijumuishi bajeti yake ya taifa na ya county.
Bajeti ambayo imesomwa leo ni ya taifa (national budget). Lakini kwa mujibu wa katiba mpya, lazima 15% - 35% ya national budget itumwe kwenye kaunti.

Ni pesa ya tafia ambayo inagawiwa kaunti.

Juu ya hiyo, kunayo serikali za county na mitaa, ambazo bado ziko na revenue yao ya kando. Mfano revenue ya leseni za maduka, parking ya magari etc.. Hiyo ni revenue ya mitaa na kaunti, ambayo haiko ndani ya bajeti iliyosomwa leo.
 
Correction. Kenya GDP = $99 billion.

Nigeria iko na budget zingine za state, ilhali Kenya, county zinagawiwa kwa hio moja.
Buda, si umesema hapa, county zinagawiwa kwa hiyo moja, mbona unajiruka tena post #11.
Na Msapere kasema de same thing post #3.
Dah, wakenya mnapenda jikweza.
 
Correction Nigeria GDP 500 billion, South Africa 398b, Kenya 99b. No hate but I think there is a reason why Nigeria is referred as a failed state. One of it such stuffs, Ndo maana ukifika Lagos kila kijana anampango wakuhama nchi, Wapo Dar wapo Nairobi but kumpata M-EAST Africa pale Lagos utakesha sana
 
So true ..how can an economy of 180 million people with a gdp of 500billion na oil reserves be behind a country of 52 million ,gdp of 99billion and no oil(yet)!!!so sad
Correction Nigeria GDP 500 billion, South Africa 398b, Kenya 99b. No hate but I think there is a reason why Nigeria is referred as a failed state. One of it such stuffs, Ndo maana ukifika Lagos kila kijana anampango wakuhama nchi, Wapo Dar wapo Nairobi but kumpata M-EAST Africa pale Lagos utakesha sana
 
Buda, si umesema hapa, county zinagawiwa kwa hiyo moja, mbona unajiruka tena post #11.
Na Msapere kasema de same thing post #3.
Dah, wakenya mnapenda jikweza.

Go read my posts.
National government inagawa hiyo bajeti yake, 15 -35% kwa mujibu wa katiba, kwa serikali za kaunti.

Lakini hio haimaanishi kaunti hazina revenue zingine.

Bajeti ya serikali za kaunti ina sources mbili za fedha.
1. Mgao wa serikali ya taifa.
2. Revenue ya ndani (leseni, parking, land rates etc.)
 
Back
Top Bottom