Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigeria wako na different budgets ya states zao budget ya kenya iko na allocation ya countiesKenya's GDP < $90 billion alafu budget = $30 billion
Nigeria's GDP > $300 billion alafu budget = $29 billion
Angola GDP > $120 billion alafu budget = $36 billion
Fishy stuff
Kenya's GDP < $90 billion alafu budget = $30 billion
Nigeria's GDP > $300 billion alafu budget = $29 billion
Angola GDP > $120 billion alafu budget = $36 billion
Fishy stuff
Mbona hata Tanzania budget zake za Halmashauri ni tofauti na za Serikali kuu?Nazania kwa Nigeria kuna Budget za Majimbo ambazo hizo haziko kwenye Serikali kuu so ukijumlisha na za majimbo unaweza kuta ni kubwa sana
Mbona hata Tanzania budget zake za Halmashauri ni tofauti na za Serikali kuu?
Mbona unajichanganya sana. Wewe umesema Kenya inajumuisha Budget yake na za Counties.Ukikusanya halmashauri zote za Tanzania, bajeti inafika ngapi?
Nigeria state zake zina uwezo wa kukusanya tax aina mingi.
Mfano, bajeti ya Lagos pekee yake ni $2.5 billion. Karibu bajeti ya Rwanda.
Pia Kenya kuna bajeti tofauti za counti na manispaa. Ambayo iko kando na hii ya kitaifa. Lakini sio pesa mingi sana.
Mbona unajichanganya sana. Wewe umesema Kenya inajumuisha Budget yake na za Counties.
Nimekueleza tanzania ipo na Namna mbili ya Serikali
1. Serikali Kuu
2. Serikali ya mitaa
So serikali ya mitaa inaongozwa na madiwani kwenye Halmashauri.
Hawa wapo na budget yao kulingana na halmashauri.
Tuna fanya kwanjia ya DbyD policy.
Buda, si umesema hapa, county zinagawiwa kwa hiyo moja, mbona unajiruka tena post #11.Correction. Kenya GDP = $99 billion.
Nigeria iko na budget zingine za state, ilhali Kenya, county zinagawiwa kwa hio moja.
Correction Nigeria GDP 500 billion, South Africa 398b, Kenya 99b. No hate but I think there is a reason why Nigeria is referred as a failed state. One of it such stuffs, Ndo maana ukifika Lagos kila kijana anampango wakuhama nchi, Wapo Dar wapo Nairobi but kumpata M-EAST Africa pale Lagos utakesha sana
Buda, si umesema hapa, county zinagawiwa kwa hiyo moja, mbona unajiruka tena post #11.
Na Msapere kasema de same thing post #3.
Dah, wakenya mnapenda jikweza.