pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Usiropoke man.
Serikali yao ya Congo imewashindwa mpk kutuita.
Kenyatta was never a Mau Mau member nor leader. Get your facts right. He was just the means to an end. An icon of all that was rotten in the oppression of the white man. As far as Mau Mau was concerned, he was a traitor from the beginning. An inlaw to a paramount chief, puppets of the white man.Kenyatta betrayed mau mau
Nimechanganya time frame vipi? KANU si ilianzishwa 1960, na Mzee alitoka jela 1961 na vyama vya siasa vilivyofungwa ni pamoja na KAU (1952)?Alafu Chamoto unachanganya time frame. Hujui chama cha KANU kiliibuka lini na kwa njia ipi. Hakuna mkenya anayejua historia ya nchi yake ambaye anaweza akafanya kosa la kiholela kama kutaja au kuhusisha KANU na Mau Mau kwenye sentensi moja. KANU ni ya baada ya Kenya kupata madaraka rasmi (self rule).
Hao Alshabab tumewasikia kwenye clip yao wakisema "salam Tanzania msidhan tumewaachia tutaingia......."
Wakijaribu yale missilles ya gambosh yatawahusu.
Boss, kiongozi wa Mau Mau Dedan Kimathi alinaswa mwaka wa 1956, October 21 na akanyongwa mwaka wa 1957, baada ya hapo Mau Mau hawakuwa tena 'on the offensive'. Hayo ya TANU, KANU na usaidizi kwa Mau Mau hayapo kwenye time frame moja. Ndio maana nikakueleza kwamba masuala yote ambayo unayaongelea ni porojo. Vita vya Mau Mau na usaidizi waliopata kutoka kwa Emperor Haile Selasie ni pre-1956 na outfit ya kisiasa ya enzi hizo ambayo ilihusishwa moja kwa moja na Mau Mau, sio KANU ni KCA(Kikuyu Central Association). Hii ni historia ambayo wanafunzi nchini Kenya huwa wanasoma wakiwa kidato cha pili.Nimechanganya time frame vipi? KANU si ilianzishwa 1960, na Mzee alitoka jela 1961 na vyama vya siasa vilivyofungwa ni pamoja na KAU (1952)?
Sad, He stole kikuyu ancestral land and his son uhuru is stealing the livelyhood of hardworking kenyans..Yet you are his sycophantKenyatta was never a Mau Mau member nor leader. Get your facts right. He was just the means to an end. An icon of all that was rotten in the oppression of the white man. As far as Mau Mau was concerned, he was a traitor from the beginning. An inlaw to a paramount chief, puppets of the white man.
Boss, mafeelings peleka kwa choo. Acha wanaoelewa wajadili kuhusu historia.Sad, He stole kikuyu ancestral land and his son uhuru is stealing the livelyhood of hardworking kenyans..Yet you are his sycophant
Kenyatta was never a Mau Mau member nor leader. Get your facts right. He was just the means to an end. An icon of all that was rotten in the oppression of the white man. As far as Mau Mau was concerned, he was a traitor from the beginning. An inlaw to a paramount chief, puppets of the white man.
Hata mm naumia sana lazima na sisi tuwe na slum hata moja tz siyo slum zote zipo Kenya na sisi ukigoogle tz slum angalau tuwemo nawapongeza Kenya kwa kuwa na slum za kutoshaHuaga unaumia kuona wakenya wamewazidi katika sekta flani..
Mkombozi Wa Africa sio Bwana Wa Vita."Mkombozi" wa Afrika ameshindwa kupeleka majeshi Somalia atawaezaje kuwa standby force hapa Afrika?
Haya shujaa wa vita Vya nyang'au nyang'auBoss huu ndio ushahidi kwamba Nyerere aliwapa Mau Mau Landrover kama ulivodai? Alafu unaelewa chochote kuhusu vita vya Mau Mau? Landrover waliitumia kufanyia nini? Jombaa, mimi hapa ni mjukuu wa shujaa wa Mau Mau. Historia ya Mau Mau kwangu ni suala personal, na nimehusishwa kwenye research kadhaa rasmi kuhusu historia na vita vya Mau Mau. Acha kupenda kiki reja reja.
Sasa we we kenge unaelewa nini ungekuwa unaelewa usinge sema Kenya imepata Uhuru Kenya aijawai kupata Uhuru Ila al Shabani inaweza kusaidia Kenya kupata Uhuru mkishirikiana nao kuondoa vibaraka wa wakoloni kwani unadhani tz na Kenya zina mizozo Kwa sababu gani ? Ninyi siyi guru mnatumikishwa na wakoloni hadi leoBoss, mafeelings peleka kwa choo. Acha wanaoelewa wajadili kuhusu historia.
Tanzania na hizi akili zao ndogo wanadhani Alshabaab ni mandugu wao[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. The'd rather side with terrorists. That's how dumb these goons are. The Stupid relative in the family.Umeiona hyo...
Wako na bahati Sana KDF imeshikilia hizi panya Somalia. Bure wangelia hoihoi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ombeni sana kdf wawndelee kuwadhibiti wasipenye hadi tanzania...manake vijana wa kitanzania walivyokuwa na shobo na al-shabab..sijui itakuwaje
And why are you in East Africa in the first place? Zile Bomb zililipuliwa NAIROBI na Dar zilifanyikia other countries ama ni ujinga inawasumbua?Tz haiwezi kwenda Somalia kwa sababu inaujua mgogoro wa Somalia in detail hivyo haina sababu ya kwenda Somalia So as to serve other countries interest.
Nobody from the East can threaten Tz in any way.Mnapenda ku lamba Matako ya SA Sana . whereas Geopolitically you are not in Southern Africa.
Your emmidiate threats are more from the East than south.