pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Alafu Chamoto unachanganya time frame. Hujui chama cha KANU kiliibuka lini na kwa njia ipi. Hakuna mkenya anayejua historia ya nchi yake ambaye anaweza akafanya kosa la kiholela kama kutaja au kuhusisha KANU na Mau Mau kwenye sentensi moja. KANU ni ya baada ya Kenya kupata madaraka rasmi (self rule).