CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 467
Mwalimu Nyerere alikosea sana kusisitiza Watanzania kutumia Kiswahili na kuchukia Kingereza maana mnapata tabu sana kwa taarifa ambazo zimeandikwa kwa Kingereza. Yaani hata usome mara ngapi bado haujaelewa kinachosemwa hapa. Na hii ndio mojawapo inayowaponza kiuchumi.
Inaelekea wala Historia ya Tanzania hauilewi unafikiri Watz wanaongea Kiswahili kwa sababu ya Mlm.Nyerere?
Na aliyekwambia Watz wanachukia Kiingereza ni nani? Na kwa nini tukichukie?
Na kama mpaka leo hii mwaka 2014 (Karne ya 21) pamoja na mifano yote iliyoko Duniani bado unafikiri na kuamini ya kwamba matatizo ya kiuchumi ya TZ yanaletwa na upungufu wa Lugha ya Kiingereza basi nafikiri kazi waliyoifanya Waingereza ni kubwa kuliko mtu anavyoweza kudhania!
True, even in Tanzania women always used to prefer jamaaz from Kenya, Congo and other countries.
- Kiswahili kilibuniwa kwa usaidizi wa mwarabu kwenye pwani za Tanzania na Kenya kabla ya mwalimu Nyerere
- Lakini yeye ndiye aliwasisitizia mkitumie
- WaTz wanachukia Kingereza kwa ajili ya kushindwa kukiongea, bwana nimefanya shughuli nyingi na Wabongo kwenye corporates zenu, naongea kitu ninachokifahamu.
- Ukosefu wa kuongea Kingereza unawatatiza kiuchumi maana Kiswahili kina mapungufu sana kwenye corporate world, halafu unakuta Bongo stakabadhi nyingi zipo kwa Kingereza, mambo mengi yameandikwa kwa Kingereza maana mmeshindwa kuyatafsiri hadi Kiswahili. Unapata ni wachache wenu wanaongea Kingereza vizuri, yaani watoto wa matajiri na elites na wanasiasa ndio wanapelekwa kwenye international schools, wengine wenu mmebaki saint Kayumba siku zote. halafu hao viongozi wanafiki sana, wanawasisitizia eti mpende Kiswahili wakati wanawapeleka watoto wao hizo shule ama Kenya.
Kuna mmoja alinishangaza sana, akiwa nje na watoto wake anaongea nao Kiswahili, lakini wakiwa ndani nyumbani inakua Kingereza kwenda mbele, yaani anaficha msimuone eti sio mzalendo.
Ndugu nachilia kusema wewe bado ni mchanga sana ktk haya mambo na unaandika usichokijua!
Unamaanisha nini unaposema Kiswahili kilibuniwa na Waarabu?
Unaelewa hata maana ya Lugha kwanza?
Kama Kiswahili kilibuniwa na Waarabu ni kwa nini kisiwe na Uhusiano na Kiarabu (familia)? Kwa mfano Ki-Afrikans (AK) ni lugha ya Waholanzi na ina uhusiano na Kiholanzi kuanzia matamshi, kuandika mpaka maana ya maneno sasa wewe unaposema Kiswahili kilibunia na Waarabu iweje hakiko kwenye Familia ya Lugha za Kiarabu?
Pili unasema Mlm.Nyerere ndiye aliyesisitiza TZ tuongee Kiswahili SIO KWELI!
Bado unajidhihirisha jinsi ulivyokuwa haulewi Historia ya Kiswahili ktk hili eneo tunaloliita Tanzania leo hii!
Kama unafikiri Mlm.Nyerere ndio aliyesisitiza tuongee Kiswahili, Je, ni nani aliyemfundisha Mlm.Nyerere Kiswahili? kwa maana alizaliwa (Nyerere) na kukulia Musoma zaidi ya km 1000 ktk Dar na alikuja Dar tayari akiwa anaongea Kiswahili kama lugha yake ya kwanza pmj na Kizanaki!
Ni kawaida Mtz wa kawaida hawezi kujua kuongea Kiingereza kwa maana Kiingereza hakitumiwi kwenye maisha ya kawaida na hili sio jambo geni hapa Duniani nchi zote ambazo zinatumia Lugha yake ya asili huwa Wananchi wake wana shida ya lugha Kigeni sasa sijui cha ajabu ni nini?
Au ni yale yale ni sawa kwa Mchina kutokujua Kiingereza lkn ni dhambi ya mauti kwa Mtanzania kutokujua Kiingereza au ni sawa kwa Muangola /Msumbiji kutokujua Kiingereza kwa kuwa anajua Kireno lkn si sawa kwa Mtz kutokujua Kiingereza kwa kuwa anajua Kiswahili?
Kabla ya ujio wa Mwarabu Kiswahili hakikuwepo, watu walikua wanaongea lugha zao za asili, na alipokuja Mwarabu ikawa kwa yeye kuwasiliana na wabantu lazima pabuniwe lugha ya biashara. Na ndio hapo unaona Kiswahili kimekopa maneno mengi muhimu kutoka Kiarabu na lugha zingine zetu za Bantu pamoja na hata Kireno.
Kiswahili sio lugha yetu ya asili, kilibuniwa tu kwenye pwani za Kenya na Tanzania.... na huo ndio ukweli hata mkiimba miaka elfu.
Mchina huongea lugha yake ya asili maana lugha yake yenyewe ni tajiri kwa maneno. Huna haja ya kuchakachua, mtu anaweza akawa mhandisi ama daktari na atumie Kichina bila haja ya kujifunza Kingereza, ila jaribu hilo Tanzania. Mimi nimesema mara kadhaa ni vyema kuboresha Kiswahili lakini kwa sasa bado sana, nimefanya shughuli Bongo ambapo nilihitajika kuandika ripoti kwa lugha zote mbili na nilihangaika sana maana kwenye fani yangu hamna maneno mengi kwenye Kiswahili. Hata Wabongo wenyewe walishindwa kunisaidia kutafsiri....
Tuache kuficha vichwa vyetu kwenye mchanga, huo ndio ukweli kamili.
Bado haulewi maana ya Lugha! Nimekuuliza swali kama Kiswahili kililetwa Mwarabu ni kwa nini SIYO Kiarabu?
SIYO KWELI!
Yaani ni kwa nini Kiswahili siyo familia ya Lugha za kiarabu kama kilivyo Kisomali au Amharic? Ni kwa nini Kiswahili kiwe Lugha ya Kibantu wakati Kiarabu SIYO Kibantu?
Pili kuhusu Kichina bado narudia kusema ya kwamba uelewa wako wa sayansi ya Lugha bado ni mchanga sana, kwa kifupi hakuna kitu kama Lugha ya Kichina kama vile ilivyokuwa hakuna kitu kama Lugha Kiarabu au sijui kiIndonesia!
Hizo Lugha zote ni za Kisiasa na kiuhalisia hazipo Wachina ili kujenga umoja wa kitaifa wakaamua kuiita Lugha inayoongewa na Watu wa Han Kichina ama Chinese language lkn Kiuhalisia ni lugha ya kundi moja tu lenye nguvu kama vile ninyi leo hii Mtu aamue kukiita Kikuyu Kikenya au sijui Kenyan na nchi nyingi kama sio zote hapa Duniani zimefanya hilo ni kama sisi leo hii tukaamua kukiita Kiswahili Kitanzania au Tanzanian ndivyo Makaburu walivyofanya Afrika Kusini, ndivyo Waarabu walivyofanya na kuiita Lugha zote Kiarabu ingawaje ndani yake humo mtu wa Tunisia hawezi kuongea na kuelewana na Mtu wa Saudi Arabia mpaka wote waongee standard arabic lkn zote wanaiita Kiarabu!
Kuhusu swala la Elimu hiyo ni mada nyingine lkn kifupi hata Wachina wenyewe wanatumia Kichina na maneno ya Kiingereza ama Kifaransa mpaka Kijapani waulize watu wanaosoma Uchina watakwambia!
Nimekuambia Kiswahili kilibuniwa kwa kuchanganya lugha nyingi za Kibantu na Kiarabu. Maneno mengi ya msingi ni kiarabu hadi hata jina lenyewe, Swahili limetokana na neno la Kiarabu "Sawahil سواحل"
Kenyan women are the most beautiful,sophisticated, intelligent. What a package!!
Wee baki hapo ukibisha wakati tunawachukua mademu wenu, fuatilia takwimu ndo utakoma. Wabongo kwa kweli romance hamna, mimi nilikua na demu Mbongo halafu hata kumshika mkono barabarani tukitembea inakua kama sinema, Wabongo wametukazia macho wakati kwetu jambo la kawaida tu.
Nikimpeleka kwenye mabeach halafu tunakiss sasa ndio usitake, inakua ndio movie kabisa. Hamjazoea kuyaona hayo. Halafu your girls are sex starved, hamuwapei ngoma sawa sawa, maana akikumbana na mizuka ya Kikenya haishi kusifia hadi unashangaa kwani kunani.
It depends on what you understand about romance, like I said, you guys are naive, you must understand there are some men who get orgasm when slapped by a lady, they enjoy it. Ukiwa tayari niambie nikufunze mambo haya... romance 101 for Tanzania men. Kazi yenu kudunda wanawake ili kujifariji kwa mapungufu.
Unataka kuniambia kuwa when a lady applies a NYERIFICATION PRINCIPLE on you, u definately gonna "CUM".
(Kwanini sasa mumeanzisha Taasisi inayo tetea haki za mwanaume(TAMRA) )
Katika mazingira kama hayo a real men can't CUM, unless ur suffering from "Persistent Genital Arousal Disorde".
You guys lack romance, plus good parenting principles...!
If i were to bring here a number of videos showing Kenyan Husbands get beaten..! Basi nitajaza huu uzi.
kenyan men are sweet and romantic, luv my hubby soooo much! period, thread closed! loool
Hahahaha!! almost fell off my seat laughing. That was hilarious. Ever heard of Femdom romance, aha huwezi mshamba wewe.
kenyan men are sweet and romantic, luv my hubby soooo much! period, thread closed! loool
When you have a Femdom couples in place, A Male submission to the Female domination ndio mpango mzima.
Ndio maana mnapigwa sana..!
A real Man is meant to be dominant kila sehemu... na si kujifanya umekuwa slave for a second.
Women needs a "Lover" and not "slave"
sawa ehhh!!!
Punguzeni hii perception yenu katika hili jambo.
Otherwise, watawapiga kila siku.. hadi mkome.
Mnapenda sana kuiga mambo ya zamani ya waingereza,
The world has changed now! wake up.