demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Zii mrembo, ni vile umekuta ngumi kati yangu na jamaaz wenu, isome poa nilichokua namaanisha, nimetumia neno "some" men wakati nilikua namfundisha jamaa wenu kuna romance zile jamaa hupenda kuslapiwa na manzi, yaani kuna fantansies za kila aina. Halafu unaweza kuta jamaa wamekosana na demu halafu arguement inakua hot hadi demu anamslap jamaa, na ghafla jamaa badala ya ku-retaliate ana-mpull na ku-kiss kishenzi yaani.
Unajua sex kila mtu huwa chizi, yaani hamnanga common sense humo ndani, na ndio unakuta kuna ku-suck na ku-lick na vituko za kila aina, mnakuwa wabunifu na kuanzisha vitu vyenye sio vya kawaida.
Dah! Kiswahili chenu, hata hatuwezi kuelewa mnachojadili.