Kenya 2022 Why Kenyatta chose the losing side? Or is it part of the plan to cancel Raila forever?

Kenya 2022 General Election
Unajua wakenya ni kama walishachoka na siasa za establishment... halafu kuna mambo ya hovyo amefanya Kenyatta.. kwahiyo Rutto ndo alikuwa anaonekana kama ni mtetezi wa wakenya ambaye hana background ya kutoka kwenye familia za wakubwa..

Jamaa is really a hustler.. na cha kushangaza central ya wakikuyu zaidi ya 80% wamempa kura... Kitu watu hawakutegemea
Tulibishana na watu humu kuhusu hili, ila nangoja kwanza final results.
 
Attachments

  • Screenshot_20220810-021441_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20220810-021441_Samsung Internet.jpg
    54.4 KB · Views: 7
Tulibishana na watu humu kuhusu hili, ila nangoja kwanza final results.
Unajua watu walizoea siasa za kukariri... ila Kenya imebadilika sana... Siasa za ukikuyu na ujaluo zinaenda kupotea kabisa..
 
Unajua wakenya ni kama walishachoka na siasa za establishment... halafu kuna mambo ya hovyo amefanya Kenyatta.. kwahiyo Rutto ndo alikuwa anaonekana kama ni mtetezi wa wakenya ambaye hana background ya kutoka kwenye familia za wakubwa..

Jamaa is really a hustler.. na cha kushangaza central ya wakikuyu zaidi ya 80% wamempa kura... Kitu watu hawakutegemea
Poa mkuu wangu.
Siasa zina mambo mengi sana, inaweza kuwa hata bifu lake na Uhuru lilikuwa fake, Uhuru ajifanye kuwa hamsapoti ili matokeo yaonekane ni genuine, kama ni hivyo, basi hawa jamaa wana akili sana.

Lakini kwa hali ilivyo, Hustler ameshachukua nchi.
 
Unajua wakenya ni kama walishachoka na siasa za establishment... halafu kuna mambo ya hovyo amefanya Kenyatta.. kwahiyo Rutto ndo alikuwa anaonekana kama ni mtetezi wa wakenya ambaye hana background ya kutoka kwenye familia za wakubwa..

Jamaa is really a hustler.. na cha kushangaza central ya wakikuyu zaidi ya 80% wamempa kura... Kitu watu hawakutegemea

Kumpick Gachagua haikua bahati mbaya, hata aliposema yeye ndio alimwingiza uhuru madarakani alikua sawa, kwa gap linavoendelea, Baba strong hold zake zote kama kapigwa hivi ngoja tuone itakuaje
 
Very true,Kenyans wamesema hawataki State Capture
 
Jamani tuko sawa sawa... Muambieni Odinga akubali kushindwa
 
Kumpick Gachagua haikua bahati mbaya, hata aliposema yeye ndio alimwingiza uhuru madarakani alikua sawa, kwa gap linavoendelea, Baba strong hold zake zote kama kapigwa hivi ngoja tuone itakuaje
Kipigo tayar mkuu maana tunavoongea.. chama cha Ruto UDA kina majority kwenye majimbo na senate
 
Me thinks,for hooks or clooks,Odinga will be sworn in as the 5th Kenya Prezoo,only because Ruto is not part of establishment,the Kikuyu business catel who captured the state organs since indepence,will never allow one who is not pro them to take state reign,their business,deals,connections,are at risk if Ruto becomes the next prezoo,but they will be safe if Odinga becomes,
And let's not be naive,state powers are not for every one,majority of establishment will always erect one of their own,rigardless of voting outcomes,Odinga is part of dynasty!!
Dynasties will always lead,remember USA erection btn Al gole and Bush!!!
Erection was twisted in order for Bush to win!!
And Kenyan,knows the danger of letting an "outsider"takes power,they learnt from Tanzania Maghufur,the bulldozer!!!
Bro... there is no estqblishment tena kenya... ndo kitu watu wamekataa kwenye huu uchaguzi.. ndo mana wamempa Ruto... tena central ya wakikuyu ndo wamempa kura nyingi William Rutto
 
Back
Top Bottom