Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Naona wasaidizi wa Chebukati mpo hapa JF.Tunaombeni sasa real update za IEBC ili tuanze kusherehekea ushindi wa RutoAbsolutely.. jamaa anapaswa kufungua chuo cha siasa.. ameshinda system na deep state.. wameshindwa kuchakachua