Kenya 2022 Why Kenyatta chose the losing side? Or is it part of the plan to cancel Raila forever?

Kenya 2022 General Election
Tulibishana na watu humu kuhusu hili, ila nangoja kwanza final results.
 
Tulibishana na watu humu kuhusu hili, ila nangoja kwanza final results.
Unajua watu walizoea siasa za kukariri... ila Kenya imebadilika sana... Siasa za ukikuyu na ujaluo zinaenda kupotea kabisa..
 
Poa mkuu wangu.
Siasa zina mambo mengi sana, inaweza kuwa hata bifu lake na Uhuru lilikuwa fake, Uhuru ajifanye kuwa hamsapoti ili matokeo yaonekane ni genuine, kama ni hivyo, basi hawa jamaa wana akili sana.

Lakini kwa hali ilivyo, Hustler ameshachukua nchi.
 
Kumpick Gachagua haikua bahati mbaya, hata aliposema yeye ndio alimwingiza uhuru madarakani alikua sawa, kwa gap linavoendelea, Baba strong hold zake zote kama kapigwa hivi ngoja tuone itakuaje
 
Very true,Kenyans wamesema hawataki State Capture
 
Jamani tuko sawa sawa... Muambieni Odinga akubali kushindwa
 
Kumpick Gachagua haikua bahati mbaya, hata aliposema yeye ndio alimwingiza uhuru madarakani alikua sawa, kwa gap linavoendelea, Baba strong hold zake zote kama kapigwa hivi ngoja tuone itakuaje
Kipigo tayar mkuu maana tunavoongea.. chama cha Ruto UDA kina majority kwenye majimbo na senate
 
Bro... there is no estqblishment tena kenya... ndo kitu watu wamekataa kwenye huu uchaguzi.. ndo mana wamempa Ruto... tena central ya wakikuyu ndo wamempa kura nyingi William Rutto
 
Wewe siasa ya Kenya huielewi. Wacha tungoje 9th August tuone. Mimi ni Mkenya na sikubaliani na analysis yako.
Mkuu bado uko na hopes za baba kushinda???... Ruto ni mnoma.. ahahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…