Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Au nakosea[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo bas!
Kitabia last born wanna take risk sana!
Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!
Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!
Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!
Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!
Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?
Daaaaa! Mhaya weeee!This is not true , where you did ur Reserch?
Kuna some sorts of truth…nimewaza kwa haraka haraka kuna familia kama 4 nazijua wameanza kufa last born
Mmedekezwa sana mnashindwa kuhimili mikiki mikiki
[emoji23][emoji23][emoji23]jikazeni wakuu[emoji23][emoji23][emoji23] acha zako
Ni mimi sijui kimalkia au kuna makosa hapa ya kiuandishi mkuu!?This is not true , where you did ur Reserch?
[emoji23][emoji23][emoji23]jikazeni wakuu
This is not true , where you did ur Reserch?
Aisee! Kama Mambo yenyewe ndio hivyo mbona nimekaone huruma ka last born ketu Sasa,
Kwani wewe ulikufa lini?tuna anzaga kufa sisi na