Why last born only?

Why last born only?

Kama ni hivyo bas!

Kitabia last born wanna take risk sana!

Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!

Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!

Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!

Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!

Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?

Mh ni akili za mtu bhna
 
Kuna some sorts of truth…nimewaza kwa haraka haraka kuna familia kama 4 nazijua wameanza kufa last born
 
🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️
 
Aisee! Kama Mambo yenyewe ndio hivyo mbona nimekaone huruma ka last born ketu Sasa,
 
Back
Top Bottom