Doooh imekuwa coincidence,mimi nimezaliwa uswazi lakini mtaani kwetu kuna jamaa walikuwa wanateremsha mizigo tofauti kwa Magari ya serikali au taxi drivers.
Lakini leo Mikocheni nimeona driver wa Bajaj anamteremsha Binti mzuri kweli na wa heshima(kwanje) kwenye gate,
Nikamuuliza driver wa Bajaj hata hawa wanapanda Bajaj?aAkanijibu tunawala sana hawa,nikamuuliza hajaolewa akanijibu-siku hizi sheria ya mwanamke 1/mwanaume 1 imebaki kwn makaratsi. i.e kina dada wote hawataki matatizo ukiwa na Bajaj/piki x 2 utakula mizigo,sasa kama wewe umefikia kuwa na gari jihadhari na ukimwi maana kila aina ya mzigo unaoutaka utakula tu.Kuna kina dada kila siku wanakuja kuchukuliwa na magari ma ofcn malipo ni mwili.
Wend njema