*Hatuwezi lujibu*
Yuko wap.
Toka siku ya Jumamosi ambapo lilitokea tetemeko kubwa la Ardhi kule kanda ya ziwa, mpaka siku ya jana jumanne(Sijui leo na Kesho.....) "mtukufu" alikuwa hajaonekana hadharani.
1/Kule Zambia kwenye kuapisha rais, HAJAONEKANA(Alihairisha kwenda)
2/Kule Kagera Kwenye wahanga wa Tetemeko HAJAONEKANA.(Kwanini?)
3/Kule Dodoma ambako Serikali 'imehamia' HAJAONEKANA.
4/Kule kwenye Hafla ya Idd HAJAONEKA(Sio muumini)
5/Kule kwenye kuapisha wakurugenzi wapya aliowateua HAJAONEKANA.(Kwanini?)
6/Kule Ikulu kwenye Harambee ya kuchangisha Pesa za kusaidia wahanga wa Tetemeko la ardhi HAJAONEKANA.(Kwanini?)
Kuna nini tena?
Tunataka tuambiwe 'mtukufu' wetu yuko wapi?
Hatukubali kabisa!
Nipen majib mnaojifanya mnayajua ya Pombe