Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
kwanza we ni mtu wa wapi???? 😀😀😀😀😀😀😀😀
ni mkenya ila yupo obsessed na siasa za tanzania.

inasemekana huyu pumbavu wakati wa kampeni za urais mwaka 2015,alikuwa upande wa team lowassa akijihusisha katika harakati za kumsaidia EL kuingia madarakani.

kiufupi alivunja sheria maana sheria za tz hazirusuhusu mtu ambaye si raia kujihusisha na siasa za tz.

watu wa tiss walipomshtukia kuwa yeye sio mtz,wakamtimua na kumrudisha kwao kenya.

basi tangi hapo akawa mtu mwenye chuki na kinyongo kwa JPM na siasa za tz.

hasira yake kaamua kuionyesha hapa jf kwa kufungua uzi maalum wa kuisakama tz na ku-repost kila kinacho endelea kwa lugha ya kingereza.

kila siku huja hapa ku-debate peke yake.akitokea mtu wa kumpinga hukasirika sana na kutoa matusi na kejeli kwa kingereza.
 
ni mkenya ila yupo obsessed na siasa za tanzania.

inasemekana huyu pumbavu wakati wa kampeni za urais mwaka 2015,alikuwa upande wa team lowassa akijihusisha katika harakati za kumsaidia EL kuingia madarakani.

kiufupi alivunja sheria maana sheria za tz hazirusuhusu mtu ambaye si raia kujihusisha na siasa za tz.

watu wa tiss walipomshtukia kuwa yeye sio mtz,wakamtimua na kumrudisha kwao kenya.

basi tangi hapo akawa mtu mwenye chuki na kinyongo kwa JPM na siasa za tz.

hasira yake kaamua kuionyesha hapa jf kwa kufungua uzi maalum wa kuisakama tz na ku-repost kila kinacho endelea kwa lugha ya kingereza.
mbona kashafeli tayari 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hao ndio wanaume wenye tabia za mabinti
 
He has too much to lose to stand against the injustices committed on regular basis by this regime
magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀
tutampa ishirini tena mpaka achoke yeye
 
The regime expects him to lead the opposition in particular Ukawa come 2020
asante magufuli endelea baba tuko nyuma yako😀😀😀😀😀😀
fb_img_1501095492915-jpg.551355
 
mbona kashafeli tayari 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hao ndio wanaume wenye tabia za mabinti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
We have always been long on applauding both the effort and intent but short in appraising the effectiveness of drastic measures declared and vigorously pursued by our post colonial administrations.

Nyerere was lauded for Azimio la Arusha but he later admitted the policy tools and directions were faulty, and economic decimation was all too much of an eyesore to all of us. The legacy of Nyerere administration will always be soiled by sheer levels of economic mismanagements despite genuine efforts to address causes and effects of our underdevelopment.

Mwinyi administration was accorded a red carpet reverence for the frantic effort to undo "Nyerereism" via the antithesis of the Zanzibar declaration but we all know better the indigenization of our economy took a back seat as the economy was placed in grubby hands of aliens.

Mkapa administration cemented official graft while its successive administration of Jakaya Kikwete approved it in all its pernicious forms.

Then comes Magufuli administration while a couple of weeks in office seems lacking ideas of how to reform the government, and has so far been generating plenty of heat but very little substance.

Sweeteners may taste good on mouth but in the stomach are likely to foment gastric juice notorious for corroding the intestines. What this nation needs is reforms on good governance where accountability has been sacrificed at the altar of nepotism and sycophancy.

We need to restore pre-independence accountability if we are to reach where a president has no business to snatch duties and responsibilities of his juniors but to oversee them.

For start, he needs to acknowledge NEC ought to be fully investigated by an impartial commission how it conducted this election despite its numerous vain claims that the election was free, fair and transparent. We need a legislation to empower that commission but we also need the same commission to investigate thoroughly how this very partisan police interfered with the electoral process. We cannot face another election where UKAWA are adamant they were shortchanged and we have a president who may or may not be a squatter at our IKULU pretending to bribe us with "peremende" and expect for a different result.

On government splurge, we need concrete policies and pieces of legislation like capping staff emoluments based on a ratio of recurrent expenditure. What I have seen; so far, is a battle of nomenclatures which past administrations fought with equal zeal but lost because they never identified policy tools to do it.
tutampa 20 yrs again😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hii ndio tanzania
New-African-Person-of-the-Year.jpg
 
hakuna cha bure sasa hvi ni kufanya kazi tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀
img_20170727_104329-jpg.551688
 
Who are those two? I never referred to individuals. Economic liberation is for all of us not to be trivialized in fiefdoms strangulations

Even Nyerere after political independence acknowledged economic independence was mainstay of all post colonial administration and Mkapa to claim the otherwise misleads nobody but you and few graft guzzlers
Me and few graft guzzlers!
Please, as you keep on running this marathon (this endless monopolized story); keep on remembering things that you raised and few responses issued back to you!
Initially, what I narrated was that, Mkapa's statement was not in reference to the opposition par say, but to the two previous leaders (whom you pretend not to know nor mention them by names) who had crossed the floor to the opposition. And that, their crossing the floor, by nature, has rejected them an opportunity of being among the national 'think tanks' (whose members are always none aligned) and that is where my question still prevails on whether they are still in a position of being the country's economy liberators!
Cheers!
 
Maalim Seif may do well to urge the high court to conclude their pending case than mourn on what Judas Iskrariot is up to
Nilikuwa sijamuona huyu mkimbizi.
Hawa ndio wale walisababish vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Rwanda. Jamaa huyu ni mnyarwanda ukoo wake wanatafutwa na kagame.
 
Povu la nini,subiri tukufingie kazi.
Huyu jamaa siyo mtanzania. Ni wale wanyarwanda walisababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe huko rwanda. Ukoo wake wanatafutwa na kagame. Hawa walisha kunywa damu za watu n wameapa kuvuruga nchi za maziwa akuu.

Hapa anajifanya mhaya kumbe siyo. Wakati mwingine anajiita Mnyambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom