Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU

Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampe ni unaotakiwa kuanzia Kawe saa tisa mchana.

Hata hivyo tumeshindwa kuondoka KIA kwa sababu hatujapatiwa kibali cha kutua Dar na Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA).

Huu ndio umekuwa utamaduni wa TCAA katika kampeni hizi tangu tuanze kutumia chopper. Wanatumiwa na CCM ili kuhujumu kampeni zetu na ndivyo walivyofanya wiki iliyopita Lindi na Mtwara.

Sasa itatulazimu tuondoke KIA kuelekea Dar bila kibali cha TCAA; wafanye lolote wanalotaka kufanya. Mimi na wenzangu hatutakubali kunyanyaswa namna hii tena. Dar jiandaeni, tuko njiani tunakuja!!!

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
We are aware of the reports of Heche constituency of police abductions of opposition polling agents confirming our worst fears CCM is determined to infiltrate fake votes and tender doctored polling station forms to massively rig this election which we had projected CCM path to retain power was through massive rigging in the hands of both the police state and the CCM NEC

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom