Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
HURUMA KWA VIUMBE WENGINE

Kiota cha ndege kikitukia kuwa mbele yako njiani, katika mti wo wote, au chini, chenye makinda au mayai, naye koo ameatamia juu ya makinda, au juu ya mayai, usimtwae yule koo pamoja na makinda; sharti umwache yule koo aende zake, lakini makinda waweza kuyatwaa uwe nayo; ili upate kufanikiwa, ufanye siku zako kuwa nyingi (Kumbukumbu la Torati 22:6–7)

Haki, huruma, na wema, na upendo ambao Neno la Mungu linatufundisha unaonekana kuwa ni kitu cha pekee sana. Maana vitu hivi vinatakiwa kuvuka mipaka na uelewa wetu kibinadamu. Ukichukua kwa mfano ile sheria ya kumpenda adui na kumwombea, ni kama haiji vile. Yaani nimwache adui yangu ili aendelee kunitesa! Lakini ukiongozwa na Roho wa Bwana, ndivyo utakavyofanya!

Mambo haya hayapaswi kuwa kwa binadamu tu! Ni kwa viumbe wote! Hata unapotaka kumchinja mnyama yeyote ili upate nyama, hutakiwi kumfanyia ukatili, hata kama kuua ni kuua.

Jambo hili linatuambia kuwa huruma na wema wa Mungu kwa viumbe wake ni wapekee. Hii ndio maana katika Biblia kuna mwongozo wa namna ya kupanda mazao pia. Sisi tunapofurahia kilimo cha mseto, Biblia inasema, usifanye hivyo, maana mazao mengine yataonewa. Hata kwa habari ya nguo za rangi mchanganyiko.

Hata hivyo hoja ya leo ipo kwenye kumchukua ndege pamoja na vitoto vyake. Ni jambo la aina yake na unaweza usione sababu ya kwa nini iwe hivi. Lakini ukweli ni kwamba Mungu anawalinda viumbe wote na kwa namna hii anaweka utaratibu wa kuwa kuhusiana nao na hata kupata huduma kutoka kwao. Tukiishi kwa kufuata mapenzi ya Mungu, inaonekana mambo ni rahisi kabisa! Hata mvua zitanyesha kwa wakati! Mwaka huu inaonekana kuna jambo la pekee, maana projection ya mvua kwa mikoa mingi ya kusini huwa ni kuanza tarehe 15.11.2020, na ninaona imeanza sasa. Tuendelee kuishi kwa kufuata neema na utaratibu Mungu aliotupatia. MUNGU AKUBARIKI [emoji2399] Gerson Mgaya.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
I believe!
1605673160791.jpg


Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 1972, Joe Biden Muda mfupi tu baada ya kuwa Seneta mke wake na binti yake walifariki kwa ajali ya gari, Aliapishwa akiwa hospitalini akiwa na wanawe wawili walionusurika katika ajali hiyo.
.
Mwaka 1988, Joe Biden aligombea Urais wa Marekani Kwa mara ya kwanza na Akakosa. Wakati huo Barrack Obama alikuwa Mwanafunzi Katika Chuo Cha Harvard.
.
Mwaka 2008, Joe Biden Akagombea Tena kwa mara ya pili na kushindwa na Barrack Obama (Yule Mwananfunzi wa 1988).
.
Barack Obama akamteua Joe kuwa Makamu Wake wa rais katika kipindi cha miaka 8 aliyoongoza Marekani.
.
Mwaka 2020, Joe Biden amegombea kwa mara ya tatu na anashinda Nafasi ya Urais Huku Barrack Obama akitoa mchango mkubwa kwenye mchakato huo kwa kumpigia kampeni.
.
Kwa sasa Barack Obama ana Miaka 59 na Joe Biden ana miaka 77.

#MyTake
- Usigope kushindwa, Jaribu Tena.
-Aliye Nyuma Sana kwako usimdharau, maana hujui kesho yake na Hujui atakusaidia Lini na Wapi.
Joe Hakumdharau Obama japo Obama ni mdogo sana.
-Unaweza kufanya Unachokihitaji katika umri wowote, Usikate Tamaa

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom