Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Mbona tunaandika Kiswahili au nacho cha mwaka 1880's.
askwambie mtu braza, nasoma vitabu vingi sana, hasa vya kiingereza, best sellers na wanatumia kiingereza simpo sanaaa! kwa kiingereza cha hapa hata mtu wa uingereza lazima awe na dictionary! mambo yanabadilika ! for a message to go thru lazima utumie lugha rahisi ambayo kila mtu anaweza kuelewa! hata kiswahili nacho kimebadilika sana watu wanaenda na mda, kiswahili cha sasa sio cha miaka ya 60, sasa utakuta mtu akitaka kuandika kiswahili anatumia cha miaka hiyo ambacho ni vigumu kwa jamii ya sasa kuelewa
 
Lengo wasielewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom