Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #36,601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
askwambie mtu braza, nasoma vitabu vingi sana, hasa vya kiingereza, best sellers na wanatumia kiingereza simpo sanaaa! kwa kiingereza cha hapa hata mtu wa uingereza lazima awe na dictionary! mambo yanabadilika ! for a message to go thru lazima utumie lugha rahisi ambayo kila mtu anaweza kuelewa! hata kiswahili nacho kimebadilika sana watu wanaenda na mda, kiswahili cha sasa sio cha miaka ya 60, sasa utakuta mtu akitaka kuandika kiswahili anatumia cha miaka hiyo ambacho ni vigumu kwa jamii ya sasa kuelewaMbona tunaandika Kiswahili au nacho cha mwaka 1880's.
Lengo wasieleweaskwambie mtu braza, nasoma vitabu vingi sana, hasa vya kiingereza, best sellers na wanatumia kiingereza simpo sanaaa! kwa kiingereza cha hapa hata mtu wa uingereza lazima awe na dictionary! mambo yanabadilika ! for a message to go thru lazima utumie lugha rahisi ambayo kila mtu anaweza kuelewa! hata kiswahili nacho kimebadilika sana watu wanaenda na mda, kiswahili cha sasa sio cha miaka ya 60, sasa utakuta mtu akitaka kuandika kiswahili anatumia cha miaka hiyo ambacho ni vigumu kwa jamii ya sasa kuelewa
unless una target audience flani hiviLengo wasielewe
You are very smart. My writings not for local marketunless una target audience flani hivi