Why Magufuli has a shot on wooing Uganda to join his SGR

Mimi ninazungumzia Kenya na Tanzania, achana na nchi zingine, usikimbie mada. Kwanza kwa Africa hakuna nchi inayoifikia Tanzania japo nusu katika harakati za ukombozi wa kusini mwa Africa, wakati hizo nchi zingine zilikua zinatoa misaada ya pesa na mafunzo, Tanzania ilikuwa inawahifadhi, inawafundisha, inawapa silaha na inapigana nao bega kwa bega, hizo nchi zote zilizoshiriki mbona ninyi mliokataa kutoa hata shilingi moja kwanini zimewapita tena kwa mbali, japo sisi tunasababu ya kujitetea ninyi mnalipi la kusema?
Toa mifano ili tuweze kuchangia, inawezekana una hoja nzuri, I can see it far.

The problem is obvious.. we are greedy and shortsighted..

We are building all these projects for legacy instead of interests of citizens of East Africa.

If only we were cooperating rather than competing.. imagine what we could do together.

 
He, sifa za kukomboa nchi hua unapewa na mtu mwengine, haujipei mwenyewe, Naigeria ndio inajulikana zaidi kwa kukomboa nchi za Africa, haswa nchi za southern Africa, kwa mfano nigeria iliipatia Black south Africa $61Billion! Tena Naigeria ndo iliongoza campaign duniani kumaliza uonvozi wa apartheid. Ukiangalia upande wa namibia, angola, Cuba ndo ilimwaga damu zaidi wakitumia vifaru,meli,ndege...

Alafu wewe unadai eti kuwalisha na kuwavisha na kuwapatia vi AK-47 watu wa sadc ndo kulifanya uchumi wenu kuzorota, hahahahaha
 
Tunapojadili hoja, uache kuingiza mambo ya kijinga, CCM inaingiaje hapa, vyama mbona hata ninyi mnavyo mbona mimi sitaji Jubilee au NASA japo ninajua ninyi mna uvyama zaidi kuliko huku, sema vimefunikwa na ukabila, mbona nimemtaja Prof. Lumumba lakini wewe hukumtaja au kwa sababu aliwakilisha Jubilee?

Kuhusu wazungu kuiendeleza Kenya zaidi ya Uganda na Tanzania, hilo halina ubishi, ukitaka kujua hilo, wewe jiulize, wakati wa Uhuru Tanzania haikuwa na chuo Kikuu hata kimoja, Kenya mlikuwa navyo, Tanzaniahaikuwa na uwanja wa ndege, tulikuwa na air strip tu, Kenya mlikuwa na Embakasi airport, Tanzania ilikuwa na engineer mmoja tu, na madaktari watatu tu, ninyi mlikua nao wengi tu, hatukuwa na Kiwanda hata Kimoja, vitu karibu vyote vilitoka Kenya
 
Kwahiyo kati ya Kenya ambayo imepeleka majeshi yake Somalia wapo huko wanauliwa na Alshabaab, pia imetoa hifadhi kwa malaki ya wakimbizi toka Somalia, na Ujerumani inayotuma pesa kusaidia vita dhidi ya alshabaab, nani anayebeba mzigo wa vita hivyo?,
 
Nimesema mimi mapropaganda ccm wakiwachiwa waeleze historia watachukua mda wote wakijaribu kudanganya toto eti walikua disadvantaged
 
Nimesema mimi mapropaganda ccm wakiwachiwa waeleze historia watachukua mda wote wakijaribu kudanganya toto eti walikua disadvantaged
View attachment 636208
Wewe kichwa chako kimejaa ukabila usiokwisha, ukikuyu utakumaliza, kitu gani hapa usichoelewa kwamba kabla ya Uhuru hapakuwa na University, ilianzishwa mwaka 1961 ambao ndiyo mwaka tuliopata Uhuru, tena kilikuwa ni chuo tu affiliated, sio full University, tofauti na University ya Nairobi na Makerere zilizoanzishwa miaka ya 1920s na 50s, punguza ukabila utakuwa na akili timamu
 
Ati $61 bln? Unaumwa wewe! Which Nigeria? Fool Bring evidence !
 

huo ni uongo uliotukuka. eti Nigeria ilitoa US$ 61bn by then. do you know what was the GDP of sub Sahara Africa combined?? dude bring the facts and not makolochocho.
 
huo ni uongo uliotukuka. eti Nigeria ilitoa US$ 61bn by then. do you know what was the GDP of sub Sahara Africa combined?? dude bring the facts and not makolochocho.
Labda ilitoa kwa Kenya ku-fight hunger! Nchi zilizosaidia South Africa kupiga na na Makaburu zinajulikana Tanzania, Zambia, Algeria, Cuba na Uganda mwishoni. Hata Mandela na ANC wana-acknowledge. Huyu mbwa sijui anapata wapi hivi vitu ana-post humu.
 
Labda ilitoa kwa Kenya ku-fight hunger! Nchi zilizosaidia South Africa kupiga na na Makaburu zinajulikana Tanzania, Zambia, Algeria, Cuba na Uganda mwishoni. Hata Mandela na ANC wana-acknowledge. Huyu mbwa sijui anapata wapi hivi vitu ana-post humu.
Anafahamu kila kitu, kitu kinachomsumbua ni wivu juu ya Tanzania kupata sifa kama kinara wa ukombozi wa Afrika na Kenya kushutumiwa kwa kuwa msaliti wa waafrika kwa kushirikiana na wakoloni.

Wakati watanzania wanapoteza maisha kwa kutetea heshima na utu wa waafrika duniani, wakenya walikuwa wanabeba mabegi na kusafisha viatu vya wazungu, sasa hivi wanataka eti Amina Mohamed aongoze AU, nani asiyewajua wasaliti wakubwa hao?
 
Mi mimi si mkikuyu. But it doesn't matter. Unaendelea kutoa sababu za watu wavivu... Hata UoN pia haikuwa full university hadi 1970!

 
Mi mimi si mkikuyu. But it doesn't matter. Unaendelea kutoa sababu za watu wavivu... Hata UoN pia haikuwa full university hadi 1970!

View attachment 636957
Tunalozungumzia ni kwamba hapakujengwa chuo chochote cha elimu ya juu kama huko kwenu, mbona hayo mengine huyazungumzi kutokuwepo na wataalamu wengi kama kwenu kabla ya uhuru?
 
Tunalozungumzia ni kwamba hapakujengwa chuo chochote cha elimu ya juu kama huko kwenu, mbona hayo mengine huyazungumzi kutokuwepo na wataalamu wengi kama kwenu kabla ya uhuru?
Chunguza vizuri, utagundua 90% ya hao wataalam hawakusomea kenya kama first degree. Enzi zile tulituma wakenya wengi sana nchi za nje mbalimbali wakapate utaalamu ili ile siku tutapata Uhuru basi wataalam afrika watakua na uwezo
 
Chunguza vizuri, utagundua 90% ya hao wataalam hawakusomea kenya kama first degree. Enzi zile tulituma wakenya wengi sana nchi za nje mbalimbali
Nchi za Africa hazikuwa na vyuo vikuu vya kutoa degree kwasababu wazungu hawakuhitaji waafrika wengi wasome kufikia huko, hivyo huku Afrika walijenga vyuo vya level ya Diploma, kwa level ya diploma huku tuliita University, sasa ninyi Kenya mlijengewa vyuo hivyo vya diploma kwa hiyo mlikuwa na wasomi wengi ambao walipata sifa ya kupelekwa Ulaya na Marekani kupata degree, huku Tanzania wazungu hawakujenga hata chuo kimoja cha level ya diploma kama walivyofanya huko Kenya, matokeo yake hatukuwa na watu wenye sifa ya kwenda kusomea degree nje ya nchi, hilo ndilo ninataka ufahamu
 
Wapi! Nimeshakuonyesha Udm ilikua same level na Uon, zote zilikuwa college. Bado una insist eti hamkua na chuo chochote.
Literacy rate at independence ilikua less than 10%, today it's above 86%, wakati Tz iko 72% miaka hamina baadae na bado unamlaumu mzungu kwa hitilafu zenu, SMH
 
Wapi! Nimeshakuonyesha Udm ilikua same level na Uon, zote zilikuwa college. Bado una insist eti hamkua na chuo chochote,
Udsm ilijengwa 1961, mwaka tuliopata uhuru wa Tanganyika, kundi la kwanza kuhitimu ni 1962/63, hawa ni matokeo ya Tanganyika sio wakoloni, University of Nairobi ilijengwa mwaka 1956, kundi la kwanza ilikuwa 1957/58, by the time Kenya inapata Uhuru wake mwaka 1963, wasomi wengi walishazalishwa na UoN kutokana na wakoloni, hivyo Kenya iliridhi wasomi wengi toka kwa mkoloni kuizidi Tanzania kwa mbali sana, ninadhani sasa hivi umenielewa vizuri zaidi
 
Acha kuzungumzia literace rate, jiulize kwanini Tanzania ina more specialized Hospitals kuliko Kenya, leo hii wakati nchi zote za East Africa zinatumia gharama kubwa kuwapeleka viongozi na wananchi wao nje ya nchi kwa ajili ya specialized medical care, ni Tanzania pekee ambayo ina Hospitali ya magonjwa ya moyo yenye vifaa vya kisasa na wataalamu wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…