joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mimi ninazungumzia Kenya na Tanzania, achana na nchi zingine, usikimbie mada. Kwanza kwa Africa hakuna nchi inayoifikia Tanzania japo nusu katika harakati za ukombozi wa kusini mwa Africa, wakati hizo nchi zingine zilikua zinatoa misaada ya pesa na mafunzo, Tanzania ilikuwa inawahifadhi, inawafundisha, inawapa silaha na inapigana nao bega kwa bega, hizo nchi zote zilizoshiriki mbona ninyi mliokataa kutoa hata shilingi moja kwanini zimewapita tena kwa mbali, japo sisi tunasababu ya kujitetea ninyi mnalipi la kusema?Eh, kweli CCM iliwakoroga vibaya sana na hizi propaganda za Ujamaa, yani point inakukodolea macho lakini bado hauoni kitu.
Hio table unayoona hapo inadhirisha kwamba propaganda za CCM eti kwamba wazungu ndo waliachia kenya uchumi nu uongo mtupu manake miaka mitano baada ya kupata madaraka uchumi zetu zilikua sawa!
Kwahivyo Tanzania haina sababu yoyote ya kupeana kwanini uchumi wao ulidorora.
Kama ni Kukomboa nchi za Africa Naigeria,Algeria,Ethiopia,ghana zilifanya mengi zaidi ya Tz kukomboa Africa, leo hii Tanzania ndo iko nyuma pekee, kwahivyo hako kasababu tupilia mbali, kuna nchi kama Algeria na morroko au Egypt na Isreal zimekua na vita vikali tena vya kutisha lakini leo hii Uchumi wao unapaa.
Kwahivyo hizo sababu za watu wavivu usituletee kabisa
Toa mifano ili tuweze kuchangia, inawezekana una hoja nzuri, I can see it far.
The problem is obvious.. we are greedy and shortsighted..
We are building all these projects for legacy instead of interests of citizens of East Africa.
If only we were cooperating rather than competing.. imagine what we could do together.
That's because am not a kid and I read between the lines. We all know what this is about and I answer the whole question and laid everything out so that you don't have to bother to ask the next question. So the Tanzania-ug business connection might not have been in your comment but the insinuation of the same was all over it.
If not so then why would you have bothered to say that Ug was not comfortable with chinies loan conditions and that they might opt for competitive bidding like tz... What was the point of saying that? I
There are many uncertain things, but one thing is for sure, that come rain come sunshine Uganda will build a rail connecting to the sea . So if Tanzania is not to be included in the discussion then there is really no point in saying all those things you have said, coz whether they do competitive bidding,take a loan,pay it themselves at the end of the day, a rail will be built to the coast and if the only coast up for discussion is in Kenya, then that will be Mombasa!