Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Kwani katika Uislamu hakuna?.
 
Umeamua kumwaga hadharani tabia zng zote? why me?
 
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali
Hii nimeikosa

Ila nikwambie tu dada itafikia steji utaomba anayefart tu 😎😎⛹️‍♂️💨
 
Sina shida sana yakuwa low kama wewe nakuombea Mungu akupe lile unalotafuta kwa wengine
KWa akili hii hata ukimpata huyo unayemtaka, utaachwa tu kwa kipi ulicho nacho wewe, una haki ya kuniita low kwa kuwa umeona ni sahihi na pia namuonea huruma sana baba yako na mama Yako kwa kutokufundisha how to cope with Life,.....


I feel sorry for you my sister
 
Kwamba asilimia kubwa awe kama baba 😂 kwani hauna baba, bamdogo, mjomba? Kwann umtwishe kijana wa wa2 na shurba zote? Too demanding, go sit down somewhere.
 
I look you
 
We unahitaji malaikka..na sidhani kama malaika wanaishi kwenye hii nchi ya Chadema na sisiemu
 
Kwenye hizo Sifa wewe Umechangia nini? Yaani Wewe Una Mchango gani?
Mwanaume wa hivyo hakuna labda kwenye tamthilia za Kikorea
 
Hao waliooa mnaosema wana weakness zao kibao ila wamepata watu sahihi wa kupendana nao na kuvumiliana nao ukiwa nae ndani ndio utajua ni km wengine

Hakuna mwanaume mwenye sifa hizo zote mitandao inatuharibu sana pamoja na movie za kikorea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…