Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

MPaka umefika hapa na unahuu mdomo basi asilimia kubwa unamatatizo ya akili . Tena wewe ni mtu hujui kupendwa maana unahonga wanaume,unapenda kuonea watu nakujiona unajua asilimia kubwa marafiki zako wapo kisa ya kitu fulani muda mwingi upo mwenyewe . Mwenyewe kama hili unaona ni jumalaya hujawahi kufanyiwa au kujifanyia unamsongo wa mawazo.
kupendwa hujawahi sisi tumependwa na kupenda nakupendelewa .

Na baba yangu alikuwa anasuzuki enzi hizo tulikuwa tunaenda sehemu kali kali, kula cha mchana ,tunasafiri tunaenda mbugani , picnic,outings za hapa na pale. So usiongee na mtu humjui kila mwaka lazima tuende nje ya nchi tukatembee angekuwa yupo angenipa connection ningeolewa na tajiri sana . Nisingekosa kuendeleza starehe .

So dada punguza uhongaji uhongwe hadi ukijifungua unalipa billi mwenyewe aibu malaya niwewe kwasababu hujipi muda wakutunzwa unatunza wanaume. Ni aibu ukikwama huna hata wakukuback up labda benki na vikoba
Omba sana ila JIPIME UNAYEMTA,WE UKOJE? SIYO WAMTAKA MTU WA OUT ILA WE HUTOKI/HUJITOI OUT (Mfano tu na ushauri)
 
Upate mwanadamu mwenye sifa zote hizo we Unaumba?
Mnajikoseshaga mapenzi kwa mawazo ya kipuuzi!
We unaweza kuwa hivyo?
 
Omba sana ila JIPIME UNAYEMTA,WE UKOJE? SIYO WAMTAKA MTU WA OUT ILA WE HUTOKI/HUJITOI OUT (Mfano tu na ushauri)
sema toka uonekane maswala yakujitoa out saa ingine mwanaume atajua unahela za mchezo kumbe niunajitahidi tu.
 
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Hapa umewataja wanaume 10 au zaidi tofauti...!!
 
Mbona wewe hujaweka wajibu ama majukumu yako kwake. Yaani yeye atakufaidije mbali na mbususu yako Mana Kama ni biashara ya mbususu unapata tango. Ila naona umeweka nini ambacho mtabadilisha akitumia nguvu ama jasho lake kukupeleka out ama wewe utampeleka in.
Inabidi na wanawake muweke nyingeza za sifa Mana Kama ni maku iyo ni given Kama lombo ilivyo kwa me.
Haki sawa mmeyataka
Kama vipi hama Tanzania ukatafute walipo.
Akiwa na shida hata ya milioni 400 unayo utamsaidia ama humo ndani unaenda na mbususu yako basi umemaliza Maisha na muda huo huo unataka mwenzako awe na vitu vingi karibu kumi wakati na wewe huna hata kimoja.
Everything is trading and what I know women are fuckingg best traders ever.
 
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Hao ni watu saba tofauti unatafuta
 
😁😁😁 tuna kula bia tuna kula raha bwashee
Screenshot_20241023_172809_com.android.gallery3d.jpg
 
Back
Top Bottom