Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Point of correction. Hizi accusation zimebase upande mmoja kitu ambacho sio sawa. Wanawake nao wanajua majukumu yao mume? Una uhakika gani wanaume wote wako hivyo.Ilikuwa ni kina Adam ndo walijua majukumu ya wanaume kwa wake zao , hawa wa sasa hivi ni patapotea, tunaenda nao sambamba ukimpata sawa Ila don't put your happiness kwa mtu.
Imani yangu wale wanawake sample ya mama zetu bado wapo ila sasa ndio wakubahatisha sana. Ipo siku nitabahatika mmoja namimi ndio wale sample ya kina Adam😂