Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Wangu huwa anasema nimsindikize karume akaangalie hata sendo tunapanda zetu Hicha tunafanya mizururo baadaye anasema asante kwa kunitoa auti au ni auti gani zingine zinahitajika😅😅 ukitolewa out ya chips funga unamshukuru Maulana
Asa mtu mwenyewe hela huna unataka nn jamani? Watu hebu wapunguze kucomplicate maisha... mm na mpenzi wangu unakuta tumepanda mwendokasi fresh tu tunatembea kwa mguu posta mpaka ferry ndo out hio😅😅 tunarudi na juice za afu 2 asa mtu maisha huna unataka vitu vikubwa upelekwe Johari Rotana au level 8 hyatt