Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Kwani uko wapi?
 
Hapo itabidi ufinyange wako peke yako mana sio hawa akina Konde wanataka kumla Ibraah wa watu
 
Hawa wa type hii wapo wengi sana kule kariakoo wamesimama kwenye maduka ya nguo wakiwa wamevalishwa nguo za kuuza
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
 
Nimejiona sipo peke angu
Afadhali, nilimuacha mwenzako hii wiki japo tunapendana, sababu: umbali nipo mkoani yuko dar! Kalia sana kwenye simu kalia sana anasema "hata kama hunipendi mimi usikilize moyo wangu" ila long distance imenishinda.
 
Sasa sababu huna unamuacha mwenzio kisa long distance utapata wa karibu atakutesa mpk utatamani bora angekuwa mbali
 
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Punguza over expectations hizo mkuu.

Sifa zooote ulizozitaka wanaume wanazo isipokuwa ngoja leo nivunje siri ya kambi:

Wanaume wanapenda kumfanyia hivyo mwanamke wa 'umwene' yaani wa peke yake, kwa lugha nyingine mkewe.

Kumfanyia mema yote hayo hawara ni dhambi ya mauti na ni laana, hata ungelikuwa ni wewe mkuu, mwanaume asiye mumeo hauwezi kamwe kumchukulia maanani.

Olewa mkuu yote uliyoyaeleza ni madogo sana kwa mwanaume anayekupenda kwa dhati ya moyo wake, ni lazima tu akufanyie.

Lakini wanaume wanaojitambua kuanza kummaintain mwanamke asiye mke wako amabaye kisheria hauna mamlaka naye na ambaye unajua kabisa anaweza kuwa kwenye payroll ya wanaume zaidi ya kumi ni ubwege na ni kukosa uthabiti wa maamuzi sahihi, labda uwe ni fisadi papa.
 
Sasa sababu huna unamuacha mwenzio kisa long distance utapata wa karibu atakutesa mpk utatamani bora angekuwa mbali
Mda huo ananitesa namuangalia tu!
We unaweza kukaa miaka miwili hujawahi kuonana na mtuwako ?Hata mara moja
 
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Utasubiri sana mpaka miguu iote ukogo. Mungu huwa anakupa wa kufanana nae. Ukimtaka wa namna hiyo anza kwanza wewe kubadilika uwe na namna hiyo.

Ova.
 
Mungu anakupa wa kufanana na wewe, wewe mwenyewe hauko hivyo unataka upewe wa namna hautajua thamani yake
😅😅 ukitolewa out ya chips funga unamshukuru Maulana
Asa mtu mwenyewe hela huna unataka nn jamani? Watu hebu wapunguze kucomplicate maisha... mm na mpenzi wangu unakuta tumepanda mwendokasi fresh tu tunatembea kwa mguu posta mpaka ferry ndo out hio😅😅 tunarudi na juice za afu 2 asa mtu maisha huna unataka vitu vikubwa upelekwe Johari Rotana au level 8 hyatt
 
Zamani nilikuwa nawapata so nimezoea hiyo hali
 
Kumbe huna hata mpenzi halafu Upo unanipondea niachane na wangu ili nije niandike nyuzi kama zako we bi dada

Haku simuachii mimi wangu ananipa yote wewe unayoyakosa kasoro ni viwili tu sipajui kwake na hasemi kama tuna future 😂😂😂😂😂🙌🏻
Sijakuambia muache kama unakumbukumbu nilikuambia mwombee kaa naye usije pitiwa na wapita njia ukaniambia haniambi kuwa anioa nimeomba sana ukasema hivyo nikakuambia mwache kwani nani amesema sitongozwi natongozwa ila shida sasa type zao ndio zinanichosha unawez a pewa kila kitu ila anamadharau anatoa baadhi ila anapelekesha , yaani nimechoka
 
😅😅 ukitolewa out ya chips funga unamshukuru Maulana
Asa mtu mwenyewe hela huna unataka nn jamani? Watu hebu wapunguze kucomplicate maisha... mm na mpenzi wangu unakuta tumepanda mwendokasi fresh tu tunatembea kwa mguu posta mpaka ferry ndo out hio😅😅 tunarudi na juice za afu 2 asa mtu maisha huna unataka vitu vikubwa upelekwe Johari Rotana au level 8 hyatt
Sasa mbona unaongea ukweli kabisa hahaha
 
Wanawake wa hivi huwa wanakuaga ni wabovu afu huwa hawajijui sasa
IMG_3261.jpeg
 
Back
Top Bottom