Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Akupe idea za nini wakati hamna inachoofa zaidi ya Mo Kk
 
Jaribu kuwa na vyako kwanza, hutohangaika kuumiza kichwa,

Shida inakuja huna pesa, kazi, huna mpenzi wa kukujali, lzm upate stress
 
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Unataka mwanaume bora je wewe unayo hiyothsmani ya huo ubora .
 
Huyu unaemtaka ww ni mtu mkamilifu, na wahenga si walisema hakuna mtu mkamilifu! Au mm ndo sikuwaelewa?
 
Yaani sijawahi kumpata mwanaume kama huyuu ni zamani .
1. Mwelewa
2. Mvumilivu mwenye upendo sio mtu ambaye hajui matunzo na ambaye hapendi kukujali .
3. Ukimpigia hata kama hajaona atakurudia kwa mahaba mengi yenye kutia moyo kuwa unamtu.
4. Anapenda kukutoa out za heshima unaenda naye sio namiguu lazima awe anausafiri mnaenda enjoy sehemu mbali mbali .
5. Awe anakupa positive ideas .
6. Awe anamahali hata anavutia kimwonekano atleast.
Always unamtegemea always yupo nawewe sio anakuacha anakuita akihitaji kukukula tu.

7. Hakutangazi anakuhifadhi marafiki ndugu wanakufahamu mnasaidiana ila asilimia kubwa yeye ndio baba .anamalengo pia yamaisha anaheshimu muda wako uwepo wako mara nyingi huna mawazo yakumvuna maana unaona future kwake.

Ila hapa Tanzania huyu mwanaume hayupo nakama yupo ameshaoa atakudanganya .

I wish Mungu anikutanishe naye sio mtu mnachart humu hamuonani kazi presha tu kitu kizuri kuonana nakuwa nahuyo mtu kila day .
Usherman atakufaa🤣
 
Unatafuta mpenzi au msukule?
Udongo haujaisha, unaweza jaribu tengeneza
 
Niko mm hapa ila n jobless ila sifa ya ziada najua kulomba vzr
 
Hiyo mbili na nne wengi wao ni wanaume za watu au vibabu. Kumpata kijana kwenye age ya 20-30 ambaye anaweza kukufanyia hayo ni nadra sana.

Halafu why wanawake wa siku hizi mapenzi mnayaterm kwenye hela,vitu vya gharama na luxury. Why husimtafute mwana wa kawaida ambaye ni mpambanaji mkachalika wote? Mkiambiwa mnasema hooo wakipata hela wana wakimbia. Ila kiukweli wenye hela wengi ni waume za watu au wengi maplayboy mitambo ya kutengeneza single mother. Mimi majority ya wanangu ambao mademu zao wamewavumilia wakati waki hustle leo ndio wake zao, tena jamaa zangu karibua asilmia sabini wote wapo vizuri.

Nakumbuka kuna podcast moja US kulikuwa na mabinti kibao na mbibi mmoja,hao mabinti wanamitizamo kama hiyo namba nne na mbili. Yule mbibi aliwaulizwa swali moja tu "...unataka hivyo vyote, wewe unakitu gani special/unique cha kumpa mmeo........",hamna aliye jibu wote walikaa kimya. Je wewe baada ya kupata hizo namba nne na mbili, je huyo unayemtaka akufanyie,utampa kitu gani unique ambacho hujawahi kumpa mwanaume yoyote.

Nyie ndio mnawapa stress vijana na kujiona hawana maana, nao wanakimbilia kwa mashangazi kumpata kijana wa age 20-30 anaweza kukufanyia hayo ni ngumu. Watu wanavuka mpaka 40 bado hayupo vizuri kiuchumi, yaani wanawake wa siku hizi why mnamuona mgu mwenye hela ni wa maana sana kuliko hata yule kijana mwenzako mtafutaji?

Siku hizi kuna watu wanauziwa mpaka kwenye ndoa na si ndoa hata haya mahusiano ya uchumba watu wanauziwa ngono na ukae ukijua mwanaume ukimpendea hela zake anajua na akijua unaprobability kubwa ya kutumiwa na kuachwa. Ndio maana siku hizi maslay queen,wadangaji wanazichosha K zao tu kwa matajiri ambao wanaogonga na kuwaacha, baadae wakichuja ndio wanakumbuka kumtafuta mwanaume yoyote.
 
Back
Top Bottom