Why Museveni is to connect central corridor

The central is real and safe for Uganda. even Juba can go central joining Bujumbura and Kigali to enjoy the economies of scale.
 
In short term ,sgr ya Kenya itaunderperform lakini wakishaunga hadi Kampala ndo itaoperate kwenye full,ila sgr ya Tzn ni full tembo mweupe manake sioni itabeba nn ikizingatiwa tunchi lengwa hamna cha maana,,sgr ya Kenya ikifika kisumu itabeba mzigo wa Uganda na s sudani.
Ningekuwa namaamuzi basi ningejenga sgr kutoka Tanga hadi musoma,na kuachana na hii ya sasa ya dar mwz,Kigali
Anko vitu vingne wanaangalia na kwa faida ya miaka ya mbele vzazi vijavyo usiwe mtu wa kuwaza kesho waza na miaka ya mbele
 
you are right brother. investing in the infrastructure which will be used across the generation is the foundation of economic development. normally these kind of investments need huge amount of capital. this can lead to its payback period and loan amortization to cut across the generation. but above all never allow the ratio of debt to GDP to be huge since this also will affect the economy of a country for a generation.
 
Anko vitu vingne wanaangalia na kwa faida ya miaka ya mbele vzazi vijavyo usiwe mtu wa kuwaza kesho waza na miaka ya mbele
Huu haukuwa wakati sahihi kujenga hiyo reli ya mkaka ya baadae boss,mbaya zaidi kwa pesa ya ndani.Wanaowaza faida ya mbele hutumia mkopo
Nikuulize,hebu linganisha reli na barabara kipi kinachochea uchumi na maendeleo fasta,with reference to western regions yenye reli na ile yenye barabara.
Leo hii dar imeparalize kwa mvua kwa ajili ya vibarabara vya hivyo,ko sgr ndo itatoa hiyo adhaa? Tuwe tunafanya strategic reasoning at right time sio kufanya bora liende matokeo yake ni miradi isiyokuwa na tija huku inaumiza uchumi
 
Sgr itasaidia sana hasa kupunguza misongamano humu barabarani kuanzia kwa abiria hadi mizigo
 
Msongamano UPI wa nagari na mizigo unapatikana barabara ya dar mwanza,kigoma,kahama hadi Kigali?
Kama ishu ni msongamano,basi sgr ingejengwa kwenda Sadc region
 
Kizangere issue [emoji54][emoji54][emoji54]
 
Back
Top Bottom