Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anko vitu vingne wanaangalia na kwa faida ya miaka ya mbele vzazi vijavyo usiwe mtu wa kuwaza kesho waza na miaka ya mbeleIn short term ,sgr ya Kenya itaunderperform lakini wakishaunga hadi Kampala ndo itaoperate kwenye full,ila sgr ya Tzn ni full tembo mweupe manake sioni itabeba nn ikizingatiwa tunchi lengwa hamna cha maana,,sgr ya Kenya ikifika kisumu itabeba mzigo wa Uganda na s sudani.
Ningekuwa namaamuzi basi ningejenga sgr kutoka Tanga hadi musoma,na kuachana na hii ya sasa ya dar mwz,Kigali
So na wee unaunga mkono huo niukweli??? Watu wanaowaza leo na kesho akili zao utazijua hahahahahamwenzenu huyo,ukweli mchungu
Anko vitu vingne wanaangalia na kwa faida ya miaka ya mbele vzazi vijavyo usiwe mtu wa kuwaza kesho waza na miaka ya mbele
Huu haukuwa wakati sahihi kujenga hiyo reli ya mkaka ya baadae boss,mbaya zaidi kwa pesa ya ndani.Wanaowaza faida ya mbele hutumia mkopoAnko vitu vingne wanaangalia na kwa faida ya miaka ya mbele vzazi vijavyo usiwe mtu wa kuwaza kesho waza na miaka ya mbele
Sgr itasaidia sana hasa kupunguza misongamano humu barabarani kuanzia kwa abiria hadi mizigoHuu haukuwa wakati sahihi kujenga hiyo reli ya mkaka ya baadae boss,mbaya zaidi kwa pesa ya ndani.Wanaowaza faida ya mbele hutumia mkopo
Nikuulize,hebu linganisha reli na barabara kipi kinachochea uchumi na maendeleo fasta,with reference to western regions yenye reli na ile yenye barabara.
Leo hii dar imeparalize kwa mvua kwa ajili ya vibarabara vya hivyo,ko sgr ndo itatoa hiyo adhaa? Tuwe tunafanya strategic reasoning at right time sio kufanya bora liende matokeo yake ni miradi isiyokuwa na tija huku inaumiza uchumi
Msongamano UPI wa nagari na mizigo unapatikana barabara ya dar mwanza,kigoma,kahama hadi Kigali?Sgr itasaidia sana hasa kupunguza misongamano humu barabarani kuanzia kwa abiria hadi mizigo