Kwa maana kama hajajitangaza kuwa khalifa na akawa analawiti haina shida ,ila akijitangaza khalifa hapo ndio kulawiti kunakuwa tatizo ?Kwani hao unao wataja walisha wahi kujitangaza kua ni ma khalifa wa Uislamu, kama huo Masroor wa Ma Qadian anae dhalilisha Dini ya Uislamu wakati sio muislamu
Samahani mkuu naomba kujua na wewe ni Qadiani au Shia naomba uwe muwazi ili nijue mtu nae mjibuKuna kundi la salafi nalo linatuhumiwa kwamba limekuja kupoteza na kugawa waislamu.
Na yapo makundi mengi ambayo yanatuhumiwa kwamba yanataka kupoteza waislamu.
Je hizi tuhuma wanaIsema wemyewe watu wa hayo makundi au wapinzani wao ndio wanaosema hayo ?
Usijali mkuu.Samahani mkui naomba kujua na wewe ni Qadiani au Shia naomba uwe muwazi ili nijue mtu nae mjibu
Uwe muazi acha maelezo malefu kama Ma Qadiani, hamnaga dhehebu la hoja katika Uislamu......kwani unaogopa dhehebu lako kama hao ma QadianiUsijali mkuu.
Mimi muislamu wa dhehebu la hoja,kule ambako kuna hoja yenye nguvu ndiko nafuata hoja hiyo.
Kwa mantiki hiyo mimi naweza kuwa pamoja na kadiani katika jambo fulani kwa sababu hoja yao nimeona iko na nguvu
,naweza kuwa na salafi upande fulani kwa sababu hoja yao katika jambo hilo ina nguvu.
Naweza kuwa Na ibadhi katika jambo fulani kwa sababu hoja yao ina nguvu katika jambo hilo.
Mimi ni muislamu ninayejifunza zaidi,sio yule muislamu ambaye nimeridhika na kujifungia na kijikundi fulani.
Elimu epi ambao huwezi kuiweka hadharani, mna fichaficha nini nyie matapeli wa Dini.
Kila jamii ni wateule wa MunguWaarabu kwani nao mnawaita wateule wa Mungu?
Hapa Wazanzibari au waislam wa bara watabisha kisa mwarab anachokonyolewa mavi na mwanamme mwenzake. Yaani hizi dini zinawaharibu sana Waafrika wakti hawajuwi lolote kuhusu dini zaidi ya kukariri tu vitu visivyo na maana kwao.Na kiongozi wa Qadiani/ Ahmadiyya Masroor anae ishi UK ni mshariki mkubwa wa maShoga na inasadikiwa kua nimoja wao, kwahiyo huyu kiongozi wao hawezi kua Muislamu na Qadian sio Waisalamu nchi nyingi Asia zilisha wagundua na kuwafukuza wamekimbilia Africa kwasbb ya umasikini na ukosefu wa elimu ya dini AfricaView attachment 1980441
Mkuu Masroor sio muarabu ni Hindi kiongozi mkuu wa dini ya Qadiani/Ahmadiyya anatumia Uislamu kutafuta wafuasi ila imani zao ni siri na tofauti na za Uislamu, wemekibilia Africa hususani Tz kwa sabb watznia wengi ni ignorant na hawana exposure ya kuwagundua hao waharifu.Hapa Wazanzibari au waislam wa bara watabisha kisa mwarab anachokonyolewa mavi na mwanamme mwenzake. Yaani hizi dini zinawaharibu sana Waafrika wakti hawajuwi lolote kuhusu dini zaidi ya kukariri tu vitu visivyo na maana kwao.
We unaoneka una kila dalili ya ubaguzi.Mkuu Masroor sio muarabu ni Hindi kiongozi mkuu wa dini ya Qadiani/Ahmadiyya anatumia Uislamu kutafuta wafuasi ila imani zao ni siri na tofauti na za Uislamu, wemekibilia Africa hususani Tz kwa sabb watznia wengi ni ignorant na hawana exposure ya kuwagundua hao waharifu.
Mkuu kama unataka kulazimisha niwe kadiani sawa.Uwe muazi acha maelezo malefu kama Ma Qadiani, hamnaga dhehebu la hoja katika Uislamu......kwani unaogopa dhehebu lako kama hao ma Qadiani
Uwe muazi acha maelezo malefu kama Ma Qadiani, hamnaga dhehebu la hoja katika Uislamu......kwani unaogopa dhehebu lako kama hao ma Qadiani
Kama ma Qadiani wanafuata nguzo tano za Uislamu naomba nikuulize unijibu kiufupi tuWe unaoneka una kila dalili ya ubaguzi.
Umeambiwa Jumuiya ya Wa Ahamadiya ni dhehebu la dini ya Kiislamu kama walivyo Shia, Sunni, Ismailiya nk.
Mtume wao ni Muhammadi
Kitabu cha mwongozo wao ni Qurani
Wanashika nguzo zote za dini ya Kiislamu.
Wanamwabudu Allah.
Sasa wewe unadirikije kusema sio Waislamu.
Unaleta sababu za hoja nyingine kabisa ambazo ni matendo ya mtu binafsi.
Kwani kuchangishana pesa kunakiuka fundisho gani la Kiislamu ?
Tambua Uislamua haumilikiwi na mtu flani au kikundi flani cha watu, bali kufuata maagizo ya Allah na Mtume wake Muhammadi.
Kama uovu wa kiongozi flani hayo ni matendo yake binafsi na hayazuii wafuasi wake kutii maagizo yote ya Qurani na kuwa waumini watiifu wa Dini ya Kiislamu.
Kama makosa ya kiongozi wao basi sio yeye wa kwanza.
Kumbuka hata Mtume Muhammadi naye alikosea na akasamehewa na Mola wake.
Hata vingozi wa Suni, Shia, Ismailia wapo wanaokosea pia tena makosa makubwa kuliko ya Kiongozi wa Wa Ahamadiya.
Umeambiwa Wa Ahamadiya wanafuata maagizo yote ya Qurani na huo ndio Uislamu.
Mambo ya nani kafanya hivi na vile hai wafanyi Waislamu watiifu wa Ahamadiya kukosa sifa.
Unavyoo onekana una chuki kubwa sana kwa wa Ahamadiya jambo linalokupotezea sifa ya kuwa Mwislamu kamili.
Uislamu ni Amani, Upendo na Kutii maagizo ya Allah.
Assalam alleykumChochote nitakacholeta hapa nitakuwa nimekisoma kutoka katika hicho kitabu ndio maana kurahisisha nimem refer kwenye alislam.org ili aka download hicho kitabu ambacho kipo katika pdf, kama ningeandika chochote kuhusu dini ya Bahai na Bab/Bahaullah basi ningeandika kwa ufupi sana tofauti na mtu akisoma kipitia kitabu hicho.
Narudia tena kukurekebisha sisi tunajiita na kujulikana rasmi kama Jumuiya ya Waislamu Wa Ahmadiyya au Waahmadiyya na sio Maqadian, Qadian ni mji (zama hizo kijiji) ambako alizaliwa mwanzilishi mtukufu wa Jumuiya yetu ya Ahmadiyya Hadhrat Ahmad (as)---- sisi sio Maqadian bali ni Waahmadiyya, nadhani utakuwa umenielewa na hutarudia kosa hilo.
Assalam alleykum
Tafadhar unaweza niasidia pdf io
Ahsante sana... Mana kabla sijachangia ama kuanza kupinga hoja yoyote... Kuhusu mjadala huu wa Ahmadia... Nataka niwe hata na 1&2.Wa aleykum salaam wa rahmatullah wa barakatuhu.
Fanya hivi; ingia alislam.org, humo utakuta search Engine, type Bahai religion/Bahaullah, hicho kitabu kinachohusu dini ya Bahai kitakuja na hapo utapata pdf file yake na unaweza kudownload kitabu chote, wala sio kikubwa sana.
Ahsante sana... Mana kabla sijachangia ama kuanza kupinga hoja yoyote... Kuhusu mjadala huu wa Ahmadia... Nataka niwe hata na 1&2.
Kwahy ntafahamu vp 1&2 kuhusu ahamdiyyaLakini hicho kitabu hakihusiani na Jumuiyya ya Waisilamu ya Ahmadiyya, hicho kitabu kinaelezea juu ya Dini ya Bahai, ni kitabu kilichotungwa na Muahmadiyya na ndio maana kimo ndani ya Website ya Ahmadiyya.