Mkuu Masroor sio muarabu ni Hindi kiongozi mkuu wa dini ya Qadiani/Ahmadiyya anatumia Uislamu kutafuta wafuasi ila imani zao ni siri na tofauti na za Uislamu, wemekibilia Africa hususani Tz kwa sabb watznia wengi ni ignorant na hawana exposure ya kuwagundua hao waharifu.
We unaoneka una kila dalili ya ubaguzi.
Umeambiwa Jumuiya ya Wa Ahamadiya ni dhehebu la dini ya Kiislamu kama walivyo Shia, Sunni, Ismailiya nk.
Mtume wao ni Muhammadi
Kitabu cha mwongozo wao ni Qurani
Wanashika nguzo zote za dini ya Kiislamu.
Wanamwabudu Allah.
Sasa wewe unadirikije kusema sio Waislamu.
Unaleta sababu za hoja nyingine kabisa ambazo ni matendo ya mtu binafsi.
Kwani kuchangishana pesa kunakiuka fundisho gani la Kiislamu ?
Tambua Uislamua haumilikiwi na mtu flani au kikundi flani cha watu, bali kufuata maagizo ya Allah na Mtume wake Muhammadi.
Kama uovu wa kiongozi flani hayo ni matendo yake binafsi na hayazuii wafuasi wake kutii maagizo yote ya Qurani na kuwa waumini watiifu wa Dini ya Kiislamu.
Kama makosa ya kiongozi wao basi sio yeye wa kwanza.
Kumbuka hata Mtume Muhammadi naye alikosea na akasamehewa na Mola wake.
Hata vingozi wa Suni, Shia, Ismailia wapo wanaokosea pia tena makosa makubwa kuliko ya Kiongozi wa Wa Ahamadiya.
Umeambiwa Wa Ahamadiya wanafuata maagizo yote ya Qurani na huo ndio Uislamu.
Mambo ya nani kafanya hivi na vile hai wafanyi Waislamu watiifu wa Ahamadiya kukosa sifa.
Unavyoo onekana una chuki kubwa sana kwa wa Ahamadiya jambo linalokupotezea sifa ya kuwa Mwislamu kamili.
Uislamu ni Amani, Upendo na Kutii maagizo ya Allah.