Uko sahihi, huwezi kukuta matukio ya Ugaidi katika Uma wa Ahamadiya. Ni uma wa watu wema kabisa.
Kwani Maqadiani ni Waislamu kaka ? Mnatuchanganya ujue ?
Ukadiani ni zao la Waingereza fatilia historia ya Mirza Gulam Ahmad na itikadi zake,ni ukafiri mtupu.
Sasa hao Shia na Sunni na Ismailia ndio chimbuko la magenge ya Ugaidi.
Shia na Uislamu wapi na wapi ? Ismailia ni pote katiak mapote ya Mashia. Muwe mnafatilia kikamilifu haya mambo.
Na wanasisitiza wao ndio waislamu sahihi na wanaipigania dini yao
Hapo waondoe Mashia,Makadiani wabakize Masuni.
Mimi hawaniambii kitu hao madhehebu mengine.
Watakwmabia nini wakati wewe mjinga tena mjuaji ? Wajinga huwa wanapuuzwa.
Kushika Nguzo za Uislamu hakufanyi mtu uwe mwema, Magaidi ni Waislamu kamili na wanashika Nguzo zote za Dini ya Kiislamu na bado watu katili sana
sana.
Unao ushahidi juu ya kauli yako hii ?
Kwani Uislamu unaruhusu watu kujitoa Muhanga au watu kuuwa wenzao kwa dhulma ? Kuna Uislamu na kuna Waislamu,kadhalika Makafiri magaidi wapo.
Sisi hatutaki mambo ya Kushika Nguzo za Kiislam, sisi tunataka matendo mema baina yenu na baina ya wasio Waislamu.
Huwezi Muislamu bila kushika nguzo za Uislamu.
Mafunzo ya Uislamu juu ya kuishi na wasi kuwa Waislamu yako wazi sana,na tumehimizwa kuwatendea haki na tusiwadhulumu na kama wanaupiga vita Uislamu pia tumeusiwa kuwapiga vile vile. Ila vigezo na masharti lazima vizingatiwe
Shia, Sunni shida yao ni Kushika Nguzo tano za Uislamu tu basi.
Shia una ushahidi wanashika nguzo tano za Uislamu ?
Onyesha shida iliyopo katika nguzo tano za Uislamu ?
Matendo maovu wanayaona sawa tu.
Jamii ya Ahamadiya ni Waislamu wa kiwango cha juu kabisa. Na ni jamii ya watu WENYE MATENDO MEMA DHIDI YAO NA WASIO WAISLAMU.
MATENDO MEMA ndio ndio kusudi la Dini zote hapa duniani.
Na sio kushika nguzo za Uislamu pekee.
Ugaidi sio lazima ulipue watu,
Ukiweza kunithibitishia ya kuwa Ahmadiya ni Waislamu na mimi nakuwa Ahmadiya.
Kila kitu kipo wazi kwanini hamsomi vijana mkaujua ukweli mnakuja kupayuka payuka tu humu...?