Mbongo,
Tz, katika ubora wake na ID mpya. Chupa ni mpya Mvinyo ni ile ile.
Nchi zinazo lazimisha wananchi wake kufuata sharia za kiislamu hazikaliki, zinakiuka haki za binadamu.
Hivyo raia wa nchi hizo wanakimbilia ktk nchi zinazoheshimu haki za binadamu.
Karibuni kwa Yesu Kristo maana Yeye alisema
Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
{baadhi ya mizigo ni Sharia za Kiislam}
Mathayo 11:29
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Mathayo 11:30
kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
{Amri za Yesu Kristo ni nyepesi kuzifuata 1. Mpende Mungu, 2.Mpende jirani, hata akiwa shoga na sio kumchinja kama Sharia inavyopendekeza}
Mathayo 5:43
Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
Mathayo 5:44
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
Mathayo 5:45
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Marko 12:30
nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.
Marko 12:31
Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.
{Mwenye macho ameona, Mwenye masikio amesikia}